Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akili gani mliyokuwa nayo nyie kama sii ujinga tuu. You cultivate maua na kuwauzia wazungu ila kulima chakula hamwezi. Pia mgekuwa na akili mgekuwa na equitable distribution ya land kwa majority badala ya kuwaachia few foreigners na wanasiasa wamiliki a big chunk.

It seems poverty and hunger iko toka vichwani mwenu.
 
Sababu tunaeza nunua train zingine lakini hatuezi bomoa station kujenga zingine
Train nyingine za viwango gani zaidi ya 120kph. Ukitaka speed ya over 120kph lazima ubomoe reli na pia lazima ujenge miundombinu ya umeme na ununue train nyingine za speed. For Tanzania we only need to buy new train za higher speed tuu.
 
bass mbona bado tunawapiku, ata kwa mapato ya mazao ya kilimo.!?... i need an answer
 
nyinyi wakenya musingekua lazy musingekua munakufa na njaa kizembe kwa dunia ya leo 🤣🤣🤣 hebu imagine saud arabia ni jangwa asilimia 100 lakini sijawah sikia wanakufa na njaa na tena wanawaletea misaada ya chakula
Saudi Arabia wana mafuta na sisi hatuna.
 
Hata utokwe povu vipi fact inabakia kwamba Kenya ina higher gdp and gdp per capita kushinda Tanzania.
 
Wild village city
Maumivu peleka Tandale. Unafikiri hapo ni sawa na zile shamba zenu za mihogo za Dar? That's a protected area created by an Act of Parliament, the only one of its kind in the whole world!
 
At least DRC tunawaelewa wanapigana bado. Kuna vita huko. What about Tanzania? Tanzania is more peaceful than Kenya. Hawa jamaa hata hawajawahi kutwangana hata kidogo, which is a blessing. Kenya tuko peaceful lakini sio sana coz kuna violence wakati wa elections. Yaani these people have everything yet they are still poorer than us. Even tribalism yao is much lower than Kenya's tribalism and even their corruption is much lower than Kenya's corruption na bado wao ni masikini kutushinda. Like I just don't get it. Fertile land, best game parks in the world, all types of minerals including gold, diamonds, iron ore e.t.c Yaani hata sijui niseme nini. Bado tunawachapa vibaya sana with all these advantages zenye wako nayo.


Cc tuusan
joto la jiwe
 
Maumivu peleka Tandale. Unafikiri hapo ni sawa na zile shamba zenu za mihogo za Dar? That's a protected area created by an Act of Parliament, the only one of its kind in the whole world!
Haiondoi ukweli kwamba ni vichaka vya fisi 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…