Kama umekosa middle class suburbs si angalau upost zile nyumba zako za masquatter tucheke kidogo. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ju inaonekana South C imekushinda.🤣🤣🤣 Kwani Dar Iko na Uswazi tu.? Brathee, Usisahau kwamba Dar is home of
1. Upanga
2. Mikocheni
3. Mbezi beach
4. Salasala
5. Mbweni
6 .Goba
7. Kigamboni
8. Kawe
Haya maeneo yote yana host midle class mzee wangu
sasa taa tu inakufanya unyambe namna hiyo kwa excitement mpaka uje ku-post humu? Aiiish wacha Ukunya!hivi, bongo hakuna mataa ka hizi hapa. Masslighting.. na venye zimetapakaa kila mji kenya ata hadi mashinani village centers...
hizi kwa mtaa yetu, tunaziita AtomicLighting. yani moja tu ama mbili hivi, inafyeka estate mzima. hizi nivitu ziko tu kenya na SA na egypt, nimefanya utafiti
View attachment 2285844View attachment 2285845View attachment 2285846
Siwezi post mitaa za middle class Dar kulinganisha na hizo shule, excuse me 🤣🤣🤣🤣Kama umekosa middle class suburbs si angalau upost zile nyumba zako za masquatter tucheke kidogo. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ju inaonekana South C imekushinda.
kenpaulite amesema bongo, hakuna taa kama hizi. heb tuma vipicha tuvione..sasa taa tu inakufanya unyambe namna hiyo kwa excitement mpaka uje ku-post humu? Aiiish wacha Ukunya!
Tunajua hizi munaziona kwa stadium pekee. 🤣 🤣 🤣 🤣 uswazi giza tupu.sasa taa tu inakufanya unyambe namna hiyo kwa excitement mpaka uje ku-post humu? Aiiish wacha Ukunya!
Siwezi post mitaa za middle class Dar kulinganisha na hizo shule, excuse me 🤣🤣🤣🤣
Nairobi huwezipata hiyo ufala ya watu kushare choo na bafu unless uko kwa slum na hata siyo slums zote ziko hivyo. Jiji lenu la Dar liko nyuma sana🤣🤣🤣 Kwani Dar Iko na Uswazi tu.? Brathee, Usisahau kwamba Dar is home of
1. Upanga
2. Mikocheni
3. Mbezi beach
4. Salasala
5. Mbweni
6 .Goba
7. Kigamboni
8. Kawe
Haya maeneo yote yana host midle class mzee wangu
Kwetu ushagoo tunaziita mulika mwizi 😂 😂hivi, bongo hakuna mataa ka hizi hapa. Masslighting.. na venye zimetapakaa kila mji kenya ata hadi mashinani village centers...
hizi kwa mtaa yetu, tunaziita AtomicLighting. yani moja tu ama mbili hivi, inafyeka estate mzima. hizi nivitu ziko tu kenya na SA na egypt, nimefanya utafiti
View attachment 2285844View attachment 2285845View attachment 2285846
Mnatuzidi nini we kalio, kuna infrastructure kibao zipo DAR tu huko kwenu u ar just dreaming of having them, then uko hapa ku claim ati tupo nyuma 🤣🤣🤣 ar you crazy or something.?Nairobi huwezipata hiyo ufala ya watu kushare choo na bafu unless uko kwa slum na hata siyo slums zote ziko hivyo. Jiji lenu la Dar liko nyuma sana
Such organized neighbourhoods kule kwao ni kama kutafuta nyama ya nguruwe SaudiaUmekunja mkia kama mbwa imenyeshewa na vile ulianza kiherehere, picha moja ya South C imekupiga knockout.
Najua umezoea roof za mabati zile zimeshika kutu. 🤣🤣🤣
Bongolala, we are discussing shared pit latrines and bathrooms in Dar at the moment. Mbona hutaki tujadili hili?Mnatuzidi nini we kalio, kuna infrastructure kibao zipo DAR tu huko kwenu u ar just dreaming of having them, then uko hapa ku claim ati tupo nyuma 🤣🤣🤣 ar you crazy or something.?
Roof imeliwa na kutu ikaisha. 😃😃Sasa nashangaa na vile zile nyumba zao zimerundika bila mpangilio, ikifika wakati wa kuempty hizo pit latrines inakuwanga aje?! 😃Zile choo na bafu hazina roof.🤣🤣🤣 chongchung amechungulia wamama wengi sana uchi.
90% wanatumia hizo pit latrines hazina roof, huwezi pata advertisement ya harpic anywhere. 🤣 🤣 🤣Roof imeliwa na kutu ikaisha. 😃😃Sasa nashangaa na vile zile nyumba zao zimerundika bila mpangilio, ikifika wakati wa kuempty hizo pit latrines inakuwanga aje?! 😃
Harpic ni neno geni kule uswazini! 😂😂😂😂😂90% wanatumia hizo pit latrines hazina roof, huwezi pata advertisement ya harpic anywhere. 🤣 🤣 🤣
Wakati huo Nairobi wanatumia mifuko na kwenda kudump barabarani90% wanatumia hizo pit latrines hazina roof, huwezi pata advertisement ya harpic anywhere. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
🤣🤣🤣🤣 Kinondoni district itself inaweza kalisha hizo mitaa zenu zenye shule, na gorofa za udongo zoteHuo ukubwa wa Dar thamani yake ama uzuri wake ni nini haswa wakati nusu ni uswazi na maeneo yaliyobaki ni mashamba za mihogo and a few decent areas?
Huo ukubwa ingereflect kwa vitu za maana ingeeleweka. Lakini sasa uswazi mwanzo mwisho ni faida gani?
Ona bonge la shamba la mihogo. Rural Dar es salaam.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka kifala sana