LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Sasa Ndinda you are very productive. Mimi huona CBD yenu hapa. Sijawai equivalent za Runda, Karen, Muthaiga etc za Dar. Mnazo ama hamna?And my point is Your "Makelele "do not match what you have . You guys are talking like someone from the first world. (New York , London, Paris etc) while you are still developing now. There is no Huge gap, especially from the LDC country. Na sio aibu kushindana na mtu wa chini yako? Hivi mtu kutoka New York anaweza kupoteza nguvu zote kuprove Kwa majiji ya 3 world kwamba wapo ju? Sasa utatakeje LDC country iwe na kila kitu bora kuliko nyinyi mnaojiita Developed Middle income country katika ukanda huu?
Ngoma nayo mmetuchapapata kwanza hii sindano ili uongeze njaa,maana nahisi hujala chochote mchana huu.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
π Hama wivu, mimi kuna vitu vingi navikubali vya Nairobae. Halafu masela niliokutana nao in real life ukilinganisha na humu ni vitu viwili tofauti kabisa.Wivu tu
hawa wakenya tuna-argue nao hapa jf,ukibahatika kuona maisha au mazingira halisi wanayoishi huko kenya,unaweza ukapigwa na butwaa.π Hama wivu, mimi kuna vitu vingi navikubali vya Nairobae. Halafu masela niliokutana nao in real life ukilinganisha na humu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Hapa mmepiga Nairobi 10-0tanzania is only country that has state-of-the-art commercial vessels in east and central africa.these vessels conduct their round-trip services from dar es salaam to zanzibar.
here are some photos that show interior and exterior view of kilimanjaro five,one among of the commercial vessels which are owned by tanzanian born and east african number one billionaire,said salim bakhresa.
wakenya macho kodoooo...[emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
Every one knows that man. Hawa wako na inferiority complexdont bother arguing with these ppl...mimi nimejifunza kuwanyamazia tu...mtz kwa domo humwezi...wanapenda sana kupayuka ujinga...πππbut truth remains their LDC country is nowhere near Kenya...hata wao wanajua...
Hizi jamaa ata nashangaa kama zishawai ona Street lights
Punguza ushambabado mziki wenu ni duni,ndio maana music/media tour za wanamuziki wenu wengi ni within kenya(mombasa,western and central kenya).
most of your music artist can not conduct massive music/media tours outside kenya cos are not known internationally.
wanamuziki pekee wa kenya ambao walikuwa na muelekeo wa kimataifa ni sauti sol,sijui wamepatwa na masahibu gani.
2017 ni kama sio mwaka wa bahati kwao.hawasikiki.
calif jones na wengineo bado wapo ki-local sana japo wanajitahidi.
wana safari ndefu ya kujijenga kimataifa.imagine calif jones mpaka leo hajawahi perform dar es salaam.
kama aliwahi basi his performance wasn't successful, maana EA yote ingejua kuwa calif yupo dar es salaam.
sisi wanamuziki wetu kila siku wanazunguka dunia wakialikwa kutumbuiza katika nchi mbali mbali sambamba na kufanya media tour.
take a look at this,pay a closer attention to the tagged location or places mentioned on the caption.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Do u have over 40?????ππππππKICC, Montave 2, Hazina? zote ziko over 30. Pia mkitaka kulinganisha na floors basi tutaje over 40 floors tuone hahaha
Na 1990s na early 2000s tulikuwa under dictatorship ya Moi, who looted this countr. Economy yetu ilikuwa 12.9 billion in 1999 na yenu 9.68 same year. So hakuna tofauti kubwa Wakati wa kibaki ndio tumeanza kuenda boom.
Show us basi wapi zinajengwa tuoneshe basiNa bado wakiona super tall zikijengwa wanalia renders hahahaha
Nice look but seriously they couldn't find a better name?kakakuona tower soon will take over..bongo
If you hate renders why you sending emkakakuona tower soon will take over..bongo
Nowhere na bado inakusumbua kichwa usiku na mchana mpaka umeamua kutuonesha rendersπππdont bother arguing with these ppl...mimi nimejifunza kuwanyamazia tu...mtz kwa domo humwezi...wanapenda sana kupayuka ujinga...πππbut truth remains their LDC country is nowhere near Kenya...hata wao wanajua...
Mm sichukii ila napenda kuita render ndio maana sijasema ipo ila wenzako wanaforce render iwe kweli sasa wakati hakunaππππππππππIf you hate renders why you sending em
umeamua kuanzisha na kilio kabisaπππππEvery one knows that man. Hawa wako na inferiority complex
Nimepost mara ngapi? shenziππππShow us basi wapi zinajengwa tuoneshe basi
πππππππππππππ