Rushwa, uzembe, wizi wa viwanja (vyote pamoja na open spaces),kutokuwajibika, viwanja kubadilishiwa matumizi, kutokutoa vibali vya kujenga mapema na kupelekea watu kujenga sehemu ambazo hazijapimwa.coodip1 anaonekana kama mtaalamu kwny huu upande hivi ni kwanini bado wanawaacha watu wakijenga kiholela holela inakera sana hii ni kati ya sababu zilizonifanya nisiwe shabiki wa Mr Lukuvi kbs.
Mama leo wakati wa utiaji saini za mkataba wa sgr phase 4 aliongelea kukerwa na uchelewashaji wa ujenzi wa bandari nchiniBreaking news..!
Mama at her best!
Tunalenga soko la nje .Ni kweli mtakuwa mnaproduce zaidi ya 4,000 MW ila bado mtakuwa mnaconsume chini ya 2,000 MW wakati JNHPP inazinduliwa. Huoni huo ni ujinga na wastage of precious resources? Mtakuwa na surplus ya zaidi ya 2,000 MW.
Ila uzuri wachina wanajua ukiharibu kazi Tanzania unarudia kwa gharama zako na unakula ban baada ya hapo.wachina ni kama wanakomoa yule wa Mbagala BRT sijui ana immunity gani? Aisee ananiudhi mpaka basi!
With your informal economy. Ndio maana you are good at exporting beggars while others are exporting skilled personell. 🤣 🤣 🤣 Huwezi kujicompare na developed countries where kuna overflow of opportunities, your demand problem inasababishwa na lack of skilled labour ju wengi wenu hamna expererience ya kufanya the few jobs that are available.Big economies always create demand for jobs as in the Uk and US so is Tanzania ndio maana remittances of Kenyans from Tanzania ziko juu
Nmesema give or take..wewe unahisi itatumia ngap ? ..kumbukq inategemea na number ya vichwa , bado kuna marshling yard , kuna ACs kwenye stations , kuna signalling systemHapo kwa Sgr kutumia 500MW umezingua.
Na kapewa Phase 3 na Airport ya dodoma phase 1 siowachina ni kama wanakomoa yule wa Mbagala BRT sijui ana immunity gani? Aisee ananiudhi mpaka basi!
Production costs zitakuwa chini na bidhaa zetu zitakuwa very competitive kwenye masoko hence itavutia more investors.Tunalenga soko la nje .
Wawekezaji wengi watavutiwa na sisi kwa hiki kipengele cha kuwa na umeme wa kutosha.
Jamaa hajui anachoongea Dreamliner ya Tz sio -10 ni -8 na haijacost 330mil usdKilio kimeanza huko twitter lakini JF bado wamekaza mataqo
Taratibu mnaanza kujifunza kutoka Tanzania kuishi haya maisha ya kitanzania na kujenga kama Watanzania lakini hii ni 0.001% ya kunyaland, 99% middle class wenu bado mpo kwenye Baghdad settlement 😅😅😅Syokimau is such a lovely place 😍 View attachment 2280775View attachment 2280777View attachment 2280778View attachment 2280779
Sijasema wing, it's a common practice for hospitals kua na wing ya watoto. Nionyeshe children's hospital, a hospital that is built and dedicated entirely for children only. Tanzania has no public hospital for children and that's a fact. Kama unapinga nionyeshe moja nifunge account.We mpumbavu, Muhimbili ina children wing kubwa sawa na whole Whiteman's Nairobi Hospital
View attachment 2280833View attachment 2280834View attachment 2280835View attachment 2280836View attachment 2280837View attachment 2280838View attachment 2280839View attachment 2280840View attachment 2280841View attachment 2280842View attachment 2280843
Sijakusema namzungumzia huyo mkenya kila siku Magu Magu hampumzishi.alinyonga watu siwezi kumsamehe! Unataka list ya aliowatoa roho?
nafuta msg!Sijakusema namzungumzia huyo mkenya kila siku Magu Magu hampumzishi.
Hivi naye amefikia asilimia ngapi sasa hivi maana wanasema yuko slow tofauti na muda aliopewa.Quality is what matters. Hata huyo mchina wa Mwanza- Isaka inabidi asimamiwe vizuri sana ili kupata viwango tunavyotaka.
Yeah, sure!Production costs zitakuwa chini na bidhaa zetu zitakuwa very competitive kwenye masoko hence itavutia more investors.
[emoji120][emoji120][emoji120]nafuta msg!
Kulielewa hilo bogus inakuhitaji kipaji mkuu 😅😅😅😅Kumbe, sasa hawa nao amekosana nao nini?[emoji3][emoji3][emoji3]
Na wewe umeona eeh sehemu hii ni kama Tz especially Hamidu city [emoji116][emoji116]Taratibu mnaanza kujifunza kutoka Tanzania kuishi haya maisha ya kitanzania na kujenga kama Watanzania lakini hii ni 0.001% ya kunyaland, 99% middle class wenu bado mpo kwenye Baghdad settlement [emoji28][emoji28][emoji28]
Hapa kidogo mmejaribu kuiga Tanzania
View attachment 2280852
Huyu mama ni fala sana anatumika na mabeberu na waarabu ....vitu vya mitumba vimejaa ulaya wanatafuta pa kuvitupia ...sikuizi ni biashara kubwa ya kifisadi inayo fanya na wazungu kulazimisha africa kununua vitu chakavu kwa bei kubwa tuJapo kasema ukweli.. ila wananchi wa chini watamtupia mzigo na lawama yeye [emoji23].. ana kazi sana kuwaelimisha hao watu
Hao hawako active, dreamliners zote mbili kwa ss zinaenda na kurudi Mumbai on daily basis from yesterday, pia kuna routes za Dallas zitaanza soon achilia mbali routes za Guanzhou, ofcz ndege za ATCL kwa ss zimeelemewa na mzigo, hazitoshi.Kilio kimeanza huko twitter lakini JF bado wamekaza mataqo