joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ile ya 1994 iliyofanywa na Professor Shija ni tofauti na hii "Technically". Wale walikua kila mmoja na viungo vyake kamili, hawa walikua wanashirikiana katika baadhi ya viungo vya ndani ya mwili Kama "Liver".Sawa kuna twitter page waliandika hivyo!
BTW Operations za conjoined twins Tanzania zimeanza tangu 1994!
Tanzania doctors successfully separate conjoined twins
Doctors in milestone surgery at Dar es Salaam hospitalwww.theeastafrican.co.ke
In January 1995 he went on to the University of Brussels, Belgium, on a Belgian Embassy scholarship. He undertook and attained a master's degree in International Law (International Economic Integration Law). He proceeded to the University of Georgia where he attained a second master's degree in Law (Public International Law).Mbongo angeongea English mbovu kwa namna huyu waziri wa kenya anavyoongea kiswahili kilichooza namna hii Wakunya wasingemuacha
Sasa kama kiswahili anaongea kibovu hivi na English itakuaje sababu nae naona mother tongue effects
Haiondoi ukweli kwamba he got the horrible command of language ever actually majority of Kenyans are like himIn January 1995 he went on to the University of Brussels, Belgium, on a Belgian Embassy scholarship. He undertook and attained a master's degree in International Law (International Economic Integration Law). He proceeded to the University of Georgia where he attained a second master's degree in Law (Public International Law).
In 1997 he was published in the Boston University International Law Journal, under the title "The Role of the Organization of African Unity in Conflict Resolution and Dispute Settlement in Africa".[3
Wakimfanyia Samia hii checkup wanaweza toka na 150% mumewe akiwemo wataosema nooo!
.......... Geza Ulole. wewe ni mtu wa kushangaza sana..Naona propaganda zenyu zimefika SA! hebu leta picha za the real thing tuone inavyokaa! ndo hii sio?
Now count the lanes halafu u-compare na the foto in Sunday express! Then look at those round/oval exit ramps! The chinese couldn't make proper oval shapes!
Sure [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wakimfanyia Samia hii checkup wanaweza toka na 150% mumewe akiwemo wataosema nooo!
Wewe wacha wivu wa kitoto. Hii ni hospitali moja iliyojengwa na county moja kati ya county 47 Kenya. Hii ni hospitali iliyojengwa na County government na wamejaribu sana kujenga kitu kizuri kama hicho. Kila county inajenga hospitali kwa pesa kidogo wanayopata kutoka serikali kuu. Unaongea upuuzi na hospitali zenu nje ya Dar nyingi ni mbovu kushinda hii?vitu vinakaa wings mnaita hospitals!
Jambo la kawaida ila weka link.Maumivu kwa bongolalas. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sikuizi we are conquering Africa, mambo ya East and Central Africa tumewachia minions like TZ.