joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Huu ni wivu sio vinginevyo, Sasa mbona mnaendelea kuwekeza ktk KQ Kama mnajua ni makosa?Hamutawahi kutengeneza profit kwenye aviation. Nimeshakueleza na mapema. Ukae ukijua hivyo. Hakuna business mbaya kama ya aviation dunia hii. Kama kuna mahali Magufuli alikosea ni kupoteza pesa kununua ndege mpya. Hapo alitupa pesa kabisa. Nawapa miaka mitano mtanielewa ninachosema. Kwa major alirlines ni airline moja tu Africa ndio inatengeneza profit kwa jina Ethiopian airline na hio ilianza kufanya kazi in the 1950s. Mpo excited kama watoto wadogo kwa sababu mna airline mpya, lakini mtapata hasara sana.
List of 26 big airlines in the global arena that have gone bankrupt in the last 30 years. Note that some of these airlines were much bigger than your tiny ATCL and yet they still made enough losses to go bankrupt. For example Air Italy and Air Berlin. Hii industry ni brutal. Sio industry ya kitoto hii.sasa unalinganisha na KQ ime-make loss miaka 10 na airline ime-make loss kwa sababu ya corona! Huwa nashindwa kukuelewa at times! Wewe ni mtu wa finance kweli?
Sasa hio inakuwashia nini? Nchi ni yetu. Mbona nyie mumeamua kujifungia ndani kama mbuzi na hatujawazuia?
Kwahiyo hao wanaokufa huko Kenya kwa njaa sio wakenya?Huwezi nunua simu kama huna chakula. Think!
Na hawa hatutaki kuwaona tena huku, waambie waende kutibiwa ExfordSasa hio inakuwashia nini? Nchi ni yetu. Mbona nyie mumeamua kujifungia ndani kama mbuzi na hatujawazuia?
Asante. Swali nzuri sana hii kwa joto la jiwe na coodip1Kwani wakenya wakenda kufanya kazi nje wanabadilisha uraia? Why should someone stay at home jobless yet amepata opportunity ya kupiga pesa mrefu nje with more skills and expertise
Nimesema kwamba industry hii ina tendency ya kutengeneza losses. Sijasema kwamba ni makosa kuwekeza kwenye KQ. Serikali inaweza kuamua kutumia pesa yake kuisupport airline hata kama inatengeneza losses kwa sababu mbali mbali.Huu ni wivu sio vinginevyo, Sasa mbona mnaendelea kuwekeza ktk KQ Kama mnajua ni makosa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Na hawa hatutaki kuwaona tena huku, waambie waende kutibiwa Exford
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watanzania hawatembei kamwe hizi nchi sijui unatarajia miujiza gani ifanyike......ukiona air traffic ipo SA airports na bado SAA inashindwa kusurvive ndo utajua how tough hii industry iposo kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..
Na Mimi ninakuhakikishia kwamba, mwaka huu zaidi ya wageni 500k wakiwemo wakenya watakuja kutibiwa Tanzania.joto la jiwe nakuhakikishia jambo moja na hii nipo tayari kubet na wewe pesa nyingi. Mwaka huu wa 2022, Wakenya watatuma nyumbani remittance ya zaidi ya $4.1 billion. Hii nipo sure kabisa. Kumbuka mwaka wa 2021 ilikuwa $3.7 billion. Kama unapinga hii figure ya $4.1 billion basi tubet. Usicheze na Kenya wewe, diaspora population yetu ni kubwa.
Kwani wanakuja Tanzania kutibiwa bure au wanatibiwa kwa pesa zao? Wachanga ujinga wakati mwingine. Hata mkiwafukuza, watatumia pesa zao kutibiwa kwingine. Hawatibiwi bure.Na hawa hatutaki kuwaona tena huku, waambie waende kutibiwa Exford
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa kwanini mnaendelea kupoteza pesa za serikali kwa kuwekeza kwenye KQ wakati mumeshajikatia tamaa?Watanzania hawatembei kamwe hizi nchi sijui unatarajia miujiza gani ifanyike......ukiona air traffic ipo SA airports na bado SAA inashindwa kusurvive ndo utajua how tough hii industry ipo
Sio kwa bumber tourists arrivals after The Royal Tour. Hiyo notion ya hasara you can got with it to the grave.Hamutawahi kutengeneza profit kwenye aviation. Nimeshakueleza na mapema. Ukae ukijua hivyo. Hakuna business mbaya kama ya aviation dunia hii. Kama kuna mahali Magufuli alikosea ni kupoteza pesa kununua ndege mpya. Hapo alitupa pesa kabisa. Nawapa miaka mitano mtanielewa ninachosema. Kwa major alirlines ni airline moja tu Africa ndio inatengeneza profit kwa jina Ethiopian airline na hio ilianza kufanya kazi in the 1950s. Mpo excited kama watoto wadogo kwa sababu mna airline mpya, lakini mtapata hasara sana.
Huyu mama ni futi ngapi kwa urefu?
Kazi ya national airline ni kutoa huduma kwanza faida comes second due to multiplier effect of the industry in the economy.Etihad airways ilitengeneza loss ya $476 million in 2021.
View attachment 2277311
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Abu Dhabi's Etihad Airways trims losses on higher cargo revenues, cost control
Abu Dhabi's Etihad Airways trimmed its losses for last year on higher cargo revenues and prudent cost control, the company said in a statement on Tuesday.www.reuters.com
South Africa, Egypt na Morocco zinapata ziadi ya 10m tourists per year ila national airlines zao zinastruggleSio kwa bumber tourists arrivals after The Royal Tour. Hiyo notion ya hasara you can got with it to the grave.
Huyu mama ni futi ngapi kwa urefu?