True. This bridge is next to Kenya's second busiest airport (Moi International Airport, Mombasa) hence it is forbidden to build tall structures near the airport. Whether it is buildings or bridges, they have to be of a particular height to ensure that an aeroplane that is taking off or landing can do so safely. Some of these suspension bridges are very tall structures and cannot be built on a flight path.“Basic,” yet it still serves its purpose. I think design is determined by how much you have in the pockets, geographic factors, and urban planning. Planners & engineers don’t opt for cable stayed/suspension bridges just because they want their projects to be aesthetically pleasing!
Wacha kutupanga nawe hiyo height ya 670 m umeipata wapi?Your stats ain’t right. Tanzanite bridge is 670 meters high and 1.03km long!
And before you get too excited, the Kigogo-Busisi bridge will span 3.2 kilometers upon completion.
A website owned by UN!Reliefweb🙄 I will leave it at it.
Let it be as you wish.
You won, I lost. Case closed.
Kadanganye wapuuzi wenzio!True. This bridge is next to Kenya's second busiest airport (Moi International Airport, Mombasa) hence it is forbidden to build tall structures near the airport. Whether it is buildings or bridges, they have to be of a particular height to ensure that an aeroplane that is taking off or landing can do so safely. Some of these suspension bridges are very tall structures and cannot be built on a flight path.
Cc coodip1
Sema wametukuta sisi wastaarabu sana ila ingekuwa kwao ndio tumefanya hivyo lazima vagi ingetokea.Wameamua kusimama kabisa Msimbazi hapo, wanakharamu sama hawa. [emoji38]
That means you want recent data from me, that is not my responsibility, it is you who brought the topic, if you can't get them, that means your allegations don't hold water.First, polish your English. It's wanting!
Secondly, you objected the data I gave saying it's not recent so I gave you the liberty to provide the most recent data which you haven't. If you can't provide recent data, then we'll stick to 0.6 as the nurse-to-patient ratio in your country until "new data" arrives. How about that bongolala?
Income yetu ya gold inajenga barabara, hospitals, schools, inasambaza maji na umeme mijini na vijijini sasa wewe leta evidence kuwa remittances zimefanya chochote kati ya hivyo nilivyotaja hapo juu.Remittance imezuia njaa kwa kusaidia maelfu ya familia kupata pesa ya kununua chakula. Mbona wewe ndio unatoa points za kijinga siku hizi kwenye huu uzi? Familia ngapi zinapata chakula kupitia remittance?-maelfu. Watoto wangapi wanapata karo ya shule kupitia remittance?-maelfu. Familia ngapi zinapata pesa ya matibabu kupitia remittance?-maelfu. Viwanja vingapi vimenunuliwa na majumba mangapi yamejengwa kupitia remittance?-maelfu. Sasa leta tena point yako ya kipumbavu kwamba remittance ya $3.7 billion kwa mwaka mmoja haiisaidii uchumi wa Kenya. Hio ni pesa nyingi kushinda gold revenue ya Tanzania ya $3.6 billion. Njoo kwa ground uone kazi ambayo remittance inafanya ndio upunguze ushamba wako huo.
Cc joto la jiwe
Wamefanya maksudi kabisa tena hapo ndio Haji Manara Katoka na kupanda juu ya bus, na alivyokua anapaelewa hapo ilikua eneo lake zamani 🤣 Kajua kuwapiga kwenye mshono (Waswahili wanasemaga)Wameamua kusimama kabisa Msimbazi hapo, wanakharamu sana hawa. 😆
Wakati Tanzania ndiyo nchi inayoongoza hapa Africa kwa wakenya kupata pesa nyingi kutuma "remittances" Kenya kusaidia familia zao wanaokufa kwa njaaDanganyikan ombaomba wanatusumbua Kenya. Wanatamani sana hela ndefu ya Kenya. Warudishe umaskini DanganyikaView attachment 2277022
Kwahiyo nchi yenu inatenga bajeti kubwa ya Elimu kwa lengo la kupata remittances badala ya kupata wataalamu wa kukuza uwezo wa ndani wa nchi yenu?Remittance imezuia njaa kwa kusaidia maelfu ya familia kupata pesa ya kununua chakula. Mbona wewe ndio unatoa points za kijinga siku hizi kwenye huu uzi? Familia ngapi zinapata chakula kupitia remittance?-maelfu. Watoto wangapi wanapata karo ya shule kupitia remittance?-maelfu. Familia ngapi zinapata pesa ya matibabu kupitia remittance?-maelfu. Viwanja vingapi vimenunuliwa na majumba mangapi yamejengwa kupitia remittance?-maelfu. Sasa leta tena point yako ya kipumbavu kwamba remittance ya $3.7 billion kwa mwaka mmoja haiisaidii uchumi wa Kenya. Hio ni pesa nyingi kushinda gold revenue ya Tanzania ya $3.6 billion. Njoo kwa ground uone kazi ambayo remittance inafanya ndio upunguze ushamba wako huo.
Cc joto la jiwe
Nilikuwa sijui kama ngozi nyeupe wana wivu sana hasa wanapoona umefanya kitu ambacho yeye hawezi, unachoongea ni sahihi kabisa.Racism ndio nature ya watu weupe sio mzungu , mchina hata muhindi , nashang'aa nyinyi wakunya mnavyo wababaikia . And they don't trust us at all. Ukipata fursa ya kufanyakazi nao ndio utaamini . Halafu ukiweza kufanya jambo yeye kashindwa uwa inamuuma . Nishawahi fanyakazi na wa hungary , wahindi , waarabu na nyie wakunya nimexperience hiyo hali
Naunga mkono hoja. Iwe ni lazima upandaji miti kwenye maeneo yote ambayo yana ukame.serikali itoe elimu kwa wananchi ya ulazima iwe sheria kwa upande wa upandaji miti
Endeleeni na uzushi wenu tukijibu msijeanza kulia lia huko mnakopelekaga majungu yenu, mnajifanya mnajua sana figisu za kuchafuana, ila mkijibiwa muwe wapole.Danganyikan ombaomba wanatusumbua Kenya. Wanatamani sana hela ndefu ya Kenya. Warudishe umaskini DanganyikaView attachment 2277022
Wachina huwa hawana huruma kwenye suala la upigaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sometimes I just run out of words to say when I see shit like this
Naziona jezi nyekundu nyekundu hapo sijui nao mzuka uliwapanda wakaunga kwenye msafara au vipi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wameamua kusimama kabisa Msimbazi hapo, wanakharamu sama hawa. [emoji38]