Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Point yangu ya capacity vs actual passengers inaonekana. Termina 3 ni empty wakati 1A iko full to the brim
 
babu soma bango yaani ni vituko!
Aisee kumbe ndiyo maana hata Wakenya huwa wanapagawa na JNIA, ofcz co tu Wakenya ni abiria wote huwa wanapagawa japo Wakenya ndio huwa wanazubaa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee hii nchi ni fukara kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Now back to JKIA, the state of Departure lounge at JKIA




VS

Departure gate at Kilimanjaro international airport



Even the check inn lounge has seats
Hio sio departure gate ya JKIA, wewe huoni hao watu wanaingia? Departure ni kutoka. Departure gate ya JKIA ndio hii hapa.
 
So kwahio ndege ndo inapandiwa hapo sio [emoji1787][emoji1787]
Si ndiyo ufukara mlio nao sasa unanililia mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…