Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,139
- 107,699
ila hili tatizo ukiliangalia vizuri si jamaa wa Kunyaland tu wa kuwalaumu angalia jamii ya wanaotoa watoto wao ni wakina nani na chunguza mila zao pia! Hizi sehemu za ziwa Victoria upande wa Tanzania zina tatizo sana haswa suala la walemavu linapohusika!kuna jamaa aliuliza hao omba omba wanafikaje kenya na ikiwa hata pasipoti hawana,wakunya watu wa ajabu sana
hio lugha yao bana.. lugha ngumu ata sijawai sikia dunianiKuna sehemu wamejiandika kwamba wao ni wachagga?
90% ya watz wanaofanya biashara ndogo Kenya ni wachagga. Fundi cherehani wangu ni mchagga duka lake linaitwa 'cheka unenepe' fundi wangu wa viatu ni mchagga anaitwa senya.Kuna sehemu wamejiandika kwamba wao ni wachagga?
ongeza volume please... hivi hawa wote ni wachagga. hadi lugha yao nishaizoea. wanaongea kama wa chinese90% ya watz wanaofanya biashara ndogo Kenya ni wachagga. Fundi cherehani wangu ni mchagga duka lake linaitwa 'cheka unenepe' fundi wangu wa viatu ni mchagga anaitwa senya.
hata Bongo wapo kila mahali! Umesahau biashara ya maize wanai-control wao!90% ya watz wanaofanya biashara ndogo Kenya ni wachagga. Fundi cherehani wangu ni mchagga duka lake linaitwa 'cheka unenepe' fundi wangu wa viatu ni mchagga anaitwa senya.
Hao kama wapo kweli ni wawekezaji wanalipa kodi, unadhani serikali yenu hailijui hili iwafukuze mkose ushuru?ssahivi hapa gikombaa maze... hawa watanganyika wamekuja wengi sana.!! ata wakenya hatupati nafasi..
hawa watu warudi kwao please, ili tupate nafasi ya kupumua.. 'we can't breath'
anyway i understand. to them, kenya is another version of 'south africa'.. shilingi ya kenya dollar.!
View attachment 2275467View attachment 2275464View attachment 2275465View attachment 2275466
so wakikuyu kenya, ndo wachagga tz.. watu wa kujituma yanihata Bongo wapo kila mahali! Umesahau biashara ya maize wanai-control wao!
ongeza volume please... hivi hawa wote ni wachagga. hadi lugha yao nishaizoea. wanaongea kama wa chinese
Subiri waje na vitu vya kufake, ila nini walishakujua huwa unawaumbua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mafukara ya Kenya yameniacha nimetamba sana leo, hakuna hata fukara mmoja aliyetaka kuni challenge kwasababu wana maisha magumu mno, ila mm nisingeweza kutamba mbele ya wabongo humu, wee wabongo wana visu aisee asikuambie mtu, yn hapa lazima angetokea mbongo akaniambia haya tuanze ss, lkn hii mifukara yote ime salute [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Economically yes, politically No- wao ni opposition.so wakikuyu Kenya, ndo wachagga tz.. watu wa kujituma yani
Hapana huku Bongo ni survivals tu huwezi kuwalinganisha na Wakikuyu ambao wameshikilia serikali hawa huku ni pure struggle! Ukiwa Arusha the chance kuendeshwa nao kwa tour vans/shuttles au kuhudumiwa nao kwa tours/hotels/bureau de change/mabaa ni kubwa sana! Ukitaka baa yako iende vizuri mpe mchagga section ya jikoni! They r good cook too! Huwezi amini si wafugaji perse kama Wasukuma au Wamasai ila they r good at nyamachoma stuff! yaani kiufupi value addition section!so wakikuyu Kenya, ndo wachagga tz.. watu wa kujituma yani
Wasukuma na Wahehe watoe kwenye ulazy ni wachapakazi wazuri sana, ukitaka kuwajua nenda ishi nao usisikie kwa watu. Wanyankore siyo watz, hili kabila halipo Tanzania.ni hawa wachagga tu. otherwise nyinyi wengine wote ni ma lazy.! yani wasukuma, wanyamwezi, wahehe, wanyankore, si wanani tena...View attachment 2275493
Huyo mbwa anasema Wahehe ni ma lazy? Au sijamsikia vzr.Wasukuma na Wahehe watoe kwenye ulazy ni wachapakazi wazuri sana, ukitaka kuwajua nenda ishi nao usisikie kwa watu. Wanyankore siyo watz, hili kabila halipo Tanzania.
mmetumia wamasai mmeshibdwa sasa kubalini yaisheKwa mwendo huu itabidi tutume Al shabab huko Tanzania wafanye mambo yao ili kupunguza kasi hii.
Kamwene Mnyalukolo!Huyo mbwa anasema Wahehe ni ma lazy? Au sijamsikia vzr.
Hajui makabila vizuri,kuanzia kipindi cha Mkwawa Wahehe hawajawahi kuwa wavivu hadi leo. Mpaka ametaja kabila kutoka Uganda ni kwamba haijui Tanzania mambo mengi anaambiwa na wasiojua.Huyo mbwa anasema Wahehe ni ma lazy? Au sijamsikia vzr.
Haiya vita niliwacha ikiwa yako na teargass sasa si ulisema tusiingilie, wewe hujielewi[emoji1787][emoji1787]Wakenya ni mafukara sana, angalia nilivyotamba hapa hakutokea mkenya hata mmoja kuni challenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]