Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Foleni ni kero za apa dsm especially asbh na jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
no! no! that's is not dar...it's nairobi....people of dar own not many cars that could cause a long traffic jam as it is shown in the picture.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
I like your sarcasm, but ingekuwa Kenya roads zingekuwa wider
 
I like your sarcasm, but ingekuwa Kenya roads zingekuwa wider
wenzio huwa hawapendi....wakisoma comment zangu huwa wanalipuka kwa hasira....mimi hata sijari ndio nazidi kusonga mbele...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mbona mnatumia neno la kizungu,ina maana mmeshindwa hata ku-officialize neno na kikabila kuhusu foleni?.

nyinyi watu culture ya mzungu inawaharibu sana.
sio kila mtu mkikuyu ama mluo ama mluyha sasa huwezi ukatumia lugha hizo Nairobi ama Mombasa maha;i kuna watu toka kabila zote....hivyo, kiingereza ndio lugha inayo waunganisha sana wakenya na kiswahili pia kwa kiwango chake...

mfano kila somo shuleni inafunwa kwa kiingereza except Kiswahili...wakenya wengi hawajui kiswahili kusema ukweli...pengine pwani...pwani hamna tofauti na Tanzania...
 
sio kila mtu mkikuyu ama mluo ama mluyha sasa huwezi ukatumia lugha hizo Nairobi ama Mombasa maha;i kuna watu toka kabila zote....hivyo, kiingereza ndio lugh inayowaunganisha sana wakenya na kiswahili pia kwa kiwango chake...
haya sawa wazee "jam/traffic jam".
 
wengi wanaita eti "jam'...traffic jam
Neno Foleni linatokana na neno la kiingereza 'FALL IN LINE'' maneno mengine tumenyambua ni pamoja na SHOKA MZOBA from shock absorber na Kabati kutoka Cupboard. hivi ndio kiswahili chetu kinapata misamiati. Hata hivyo forlni in amaneno mengine yasiyo rasmi kama MNYORORO.
 
naelewa msamiati kama kabati na shoka mzoba ila foleni kwangu nimeiona kama jina exotic vile...huyo jamaa amenibamba tu vile amesema foleni...ni jina ambalo halitumiki sana Nairobi...pengine pwani ya Kenya...ningependa sana kuelewa na kuzungumza kiswahili hicho ila curriculum haijatilia maanani sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…