Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio Dodoma ambayo since 1974 imekua capital city ya tanzania. Wachana na vile vinyumba vya ma squatter The best 007 atakuja kuviweka akiisoma hii post yangu.

 
U have worst airstrips/airports wait I am coming back with ur facilities!



Lodwar airport


Wajir Airport



Garissa Airport



Kakuma airport






Nyeri airport
 
Sisi ndio taifa lenye international airport terminal nyingi kali kuliko taifa lolote hapa EA ..

JNIA
ABEID AMANI KARUME INTERNATIONAL AIRPORT
KIA
MWANZA NEW TERMINAL
kando ya JKIA ni airport gani yenye utaleta in comparison kwa airport za bongo.? Leta tucheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au unaweza nionyesha terminal ya airstrip Moja kutoka hapo kwenu ambayo ipo decent kukaribiana na hii.? πŸ‘‡
 
Tanzania beggars in Nairobi,sad
Danganyikan ombaomba wengi wana ugonjwa za utotoni kama vile polio ambayo inaleta ulemavu... kumaanisha watoto wa Tanzania maskini hawapati chanjo wakiwa wadogo sababu ya hali duni ya afya na ukosefu wa mahospitali Tanzania.
Kenya ni ngumu sana upate mtoto akiwa na polio sababu chanjo ni lazima.

Tanzania ni maskini katika nyanja zote za maisha iwe afya, elimu, barabara etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…