Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeacha mkuu ila jamaa hawa wawa danganye wasio ijua mombasa! Wasituone tumekaa kimya wakatuona wajinga kuna picha ninazo sema aibu!
Tuna mapungufu sana bongo ila hawa jamaa 😔😔😔😔😔😔
Ebu weka hizo aibu, tuone kama dar hazipo.
 
20220625_162743.png
20220625_162803.png

DAR es SALAAM 😍
 
Back
Top Bottom