I realized that too nikaamua tu kunyamaza. Maybe alimaanisha Bomas of Kenya wala sio The Boma Hotel 😂 😂 I haven't heard of any hotel in Nairobi called Bomas.The Bomas. 🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe wacha kuji aibisha.
Wewe usituone wajinga. Wewe huwezi kuafford hata one night stay at Sarova Stanley.Naipori naijua vizuri sana huwa nikija hapo nakaa kwa sehemu tatu tuu kama sio Sarova Stanley basi ni Panari au the Bomas.
Nani alikuambia au ulisoma wapi kwamba Wamasaai ndio walihamishwa msitu wa Mau? Wacha ujuaji bongolala, usije ukaongea mambo ambayo huna uelewaSasa kelele za nini kama si mnagombea interests zenu? Umewahi ona Tanzania ikilalamika Masai kuhamishwa huko Kunyaland? Mlipowatoa Mau forest tulipiga kelele?
Ichoboy na The best 007 huwa wanasema eti Kenya haina 3 level interchange. Huyo The Best mdomo kubwa pia huwa anasema hivyo.Achana na yule mjinga Ichoboy. Hajui kwamba the first three-level interchange ukanda huu iko pale Pangani. But because he's stupid na anapenda mabishano, he has always maintained that that's not a three-level interchange. Sijui uelewa wake wa neno "three-level" ni nini
Jamaa kasema kwamba moja ya hoteli ambazo anapenda kuenda inaitwa "Bomas"Wewe usituone wajinga. Wewe huwezi kuafford hata one night stay at Sarova Stanley.
Kwahiyo kwaakili yako ukimuona mtu anakunya hadharani na wewe lazima umuige? You need to show the difference otherwise mtawekwa kundi moja.Si poa kuitana negro, lakini pia nyie ni washenzi sana, mnakuanga busy mkituita monkey na kusema ngozi yetu ni nyeusi sana, mbona hamjiangaliii pia?
Maybe anamaanisha The Boma hotel ile ya South C ya Red Cross. But hata hio ni high class hawezi kuafford chakula forget about boarding. Juice tu itamshinda kulipa.Jamaa kasema kwamba moja ya hoteli ambazo anapenda kuenda inaitwa "Bomas"
Sijui hiyo ni hoteli gani hapa Nairobi 😂
Nyeri kijiji gani hicho watu wanalala kwa silos? Najua nyeri like the back of my hand. Leta jina la kijiji.Mimi sio mshamba wa picha acha ujinga wewe. Najuaje watu huko nyeri wanakaa kwenye grain silos kama sijafika huko.
Why do you sound like someone who has never left his mothers compound?In africa na duniani nimetembea nchi nyingi sana na SA nimekuwa nikienda kila mara kama chooni kenya imekuwa nchi ya mwishomwisho ku visit mpaka siku moja nafika airport jamaa wa immigration aka scan passport yangu na kuniuliza wewe huwa hutembelei huku sana eh. Lakini nikajua mentality yake kichwani maana alikuwa anashangaa iweje niwe from east africa nisitembelee kenya maana kwa mtazamo wake nilijua alilishwa matango pori ya propaganda kuwa kenya ni bora kuliko nchi nyingine za EA na kwamba majirani watapenda kuja kenya little did he know kuwa nilikuja kwa lazima tuu sio hiari yangu.
I knew that is what he was trying to say ila kaumbika vinoma! How can you not know the name of the hotel you are staying in?Maybe anamaanisha The Boma hotel ile ya South C ya Red Cross. But hata hio ni high class hawezi kuafford chakula forget about boarding. Juice tu itamshinda kulipa.
Cc coodip1
Hivi ni kiingereza hujui ama ni ushamba unakusumbua?The Bomas. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wewe wacha kuji aibisha.
Ignorance ndio shida yao kuuIchoboy na The best 007 huwa wanasema eti Kenya haina 3 level interchange. Huyo The Best mdomo kubwa pia huwa anasema hivyo.
He came to Nairobi wearing a military jacket too, two days ago. He's obsessed with power!
Museveni is using a military chopper to Kigali!
😳😳
MV marine vessel, MT marine tanker I guessMT = motor Tanker ni meli ya mafuta au vimininika
MV = motor vessel inaweza kuwa ya mizigo au abiria!
He has never come to Tanzania wearing a combat or onboard a military chopper though! He has always used a presidential jet or a motorcade! Mbona anawafanyia hivyo huko? Hawaamini sio?He came to Nairobi wearing a military jacket too, two days ago. He's obsessed with power!
3 level tumekua nazo tangu 2009 yani 2000sAchana na yule mjinga Ichoboy. Hajui kwamba the first three-level interchange ukanda huu iko pale Pangani. But because he's stupid na anapenda mabishano, he has always maintained that that's not a three-level interchange. Sijui uelewa wake wa neno "three-level" ni nini
Naona unapenda kupiga picha ila Dar utakuja tuu kupiga picha kwenye eco friendly electric sgr na modern brt ukawaambie wenzako umefika first world.Tuma picha ukiwa Kenya uache porojo buana. Mimi sijawahi fika Dar-is-a-slum and I have no longing for it.