chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Uhuru alimuiga Magufuli kujenga hospitals nyingi kupunguza congestion kwenye major hospitalsHizi ni hospitali ndogo na kubwa zimejengwa in informal settlements na county ya Nairobi under nms kupunguza msongamano kwenye hospitali kubwa za nairobi. In total ni hospitali 28 mpya na 4 refurbished. Zinarange from level 2 hadi level 5 kama hii Margaret Kenyatta hospital yenye vitanda 350
View attachment 2268880
Iko wapi au hiyo ya mdomoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa si amekuonyesha simulator ya 737,mimi naona amekupiga uppercut[emoji1787]
Street lights zipo mpk mitaani hukuinitialy thought hapa ni kanairo... this is an exclusion rare shot where darslam slightly looks like nairobi [emoji1417][emoji1417] kongole kwa hii picha, maana hatujazoea kuona scenes kaa hizi, barabara na streetlighting kaa hizi bongo
View attachment 2269041View attachment 2269042
Wakenya wanatumia hizo lkn wapii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ohhh! Sawa maana nilidhani ni kwetu ingeleta image mbaya kwenye utalii wetu.
Wacha kelele mingi, mulinunua MRI machines? The last time I checked hospitali zenu mingi hazina vifaa.Uhuru alimuiga Magufuli kujenga hospitals nyingi kupunguza congestion kwenye major hospitals
Magufuli alifanikiwa mno sababu alijenga nchi nzima, kunyaland mumejenga kwenye slums tu
Tanzania hakuna wagonjwa kwenye hizo hospitals mpaka hospital workers wanaamua kuzigeuza disco
Kahama hii hundreds of kilometers from Dar