Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

.

Kampuni inajenga meli na haina drydock, tuonyeshe dry dock zenu. Si umeona Kenya shipbuilders wote wana drydock.
Wao hawana dry dock hata moja. Hapa Kenya
1. SECO ina dry dock
2. African Marine ina dry dock
3. Kisumu port ina dry dock
4. Kenya shipyard Mombasa facility ina dry docks mbili ambazo ndio biggest dry docks in our region.
 
.

Kampuni inajenga meli na haina drydock, tuonyeshe dry dock zenu. Si umeona Kenya shipbuilders wote wana drydock.
drydock ya nn wakati tuna slipway yenye winch na cradle ya kubeba meli tangu ujenzi unaanza! Wewe mpumbavu!


 
Ferries za Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My take

Kenya hakuna wanachoiweza Tz hata kimoja, ushahidi upo na unawekwa humu kila siku, wakifanya kitu tunafanya mara 10 yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…