joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kweli huwezi kulinganisha na sababu ipo wazi kwamba SA ilijikomboa kutoka kwenye mfump kandamizi in 1994 wakati Kenya ni 1963, hata hivyo Kuna juhudi kubwa Sana zinazofanyika kupunguza hiyo tofauti, likiwemo suala la kuchukua ardhi na migodi toka kwa wachache na kuvikabidhi serikali.dyfre upo sahihi. South Africa is one of the most unequal societies in the world. Huwezi kucompare inequality ya SA na ya Kenya. South Africa is usually regarded as the most unequal country in the world. The higher the gini coefficient, the more unequal a country is. Kenya's gini coefficient of 0.40 is moderate. South Africa's gini coefficient is 0.61 which is pretty high.
Cc joto la jiwe
Weka Google earth location tuone slums za Dar Kama zinavyooneka za Nairobi, wacha kurukarukaUnapenda kulia kulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ushaambiwa over 75% of households in Dar are informal settlements. We mwarabu bandia unataka kupinga wataalamu kama nani.
Your source is tomato sauce kama kawaida.Kweli huwezi kulinganisha na sababu ipo wazi kwamba SA ilijikomboa kutoka kwenye mfump kandamizi in 1994 wakati Kenya ni 1963, hata hivyo Kuna juhudi kubwa Sana zinazofanyika kupunguza hiyo tofauti, likiwemo suala la kuchukua ardhi na migodi toka kwa wachache na kuvikabidhi serikali.
Kenya kwa Sasa ni miaka 50 tangu mlipojikomboa, hakuna juhudi zozote za kurekebisha suala la ardhi, kilichofanyika Kenya baada ya 1963 ni "politician" kugawana umiliki wa ardhi na wazungu waliokuwepo( Kenya not yetu uhuru, by: J.Odinga).
Kenya inafuatia nyuma ya South Africa katika orodha za Nchi zenye gap kubwa la kipato Kati ya masikini na tajiri, hiyo ndiyo "legacy" ya uchumi wa kibepari
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ulaya ππππππhaibadilishi kwa chuki zako au?π€£π€£π€£ yani ww ukiwa na chuki ndio tuamini pumba zako ikiwa kibera iko with 3km from CBM unatuambia hio ni planning
au ww hujui maana ya slums ππ siku ukipata google earth ikionesha slum in dar nitag nifunge acc
View attachment 2266329
Does that change anything? Or what exactly is your point?Hio picha nilianza kuiona nairaland 2017
Pelekeni majeshi mkawafurushe M23 Kama sisi tulivyowafurusha. This time Tanzania will not participate directly, because we are part of SADC on security matters.True. Kagame asipochunga, future yake ni mbaya sana hapa EAC. Watu wameshamgundua.
Kwahiyo informal na slums ni sawa?, mbona Tanzania haipo katika orodha ya UNDP katika kundi la nchi zenye slums?Imeandikwa vizuri informal settlements, hio unplanned umetoa wapi?
Kaka wewe wawezadhani huo ni uchafu, kumbe ni mfereji maalumu wa kupitisha chupa zilizotumika, ππHivi Nairobi hakuna sehem ya kutupia takataka? Nkmetembea sana huu mji lakini nimekuta sehem chache sana nahisi mna kazi kubwa sana ya kuusafisha huu mji wenu
Achana na huyo mjinga. He can't even take time to reason and ask a simple question like how the hell on earth can 2.5 million people fit in an area measuring just over 2.5 square kilometers! That's a population density of a million people per square kilometer! Ujinga zingine ni za kupuuza tu2.5 million π€£ π€£ π€£ π€£ hio ingekua county kivyake. Usiwe mjinga bana. Over 75% of Dar is a slum households are informal settlements. In Nairobi less than 6% of the land is covered with informal settlements.
Over 75% of land in Dar is covered with slums. π€£ π€£ π€£ π€£Weka Google earth location tuone slums za Dar Kama zinavyooneka za Nairobi, wacha kurukaruka
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, umeshindwa kuthibitisha umebaki kujambajamba, Rudi Kibera ukakunye kwenye mifuko ya karatasi[emoji1][emoji1][emoji1]Over 75% of land in Dar is covered with slums. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Informal settlements are slums, au unataka kutuambia hizo nyumba zenu zina choo na bafu ndani? π€£ π€£ π€£ π€£Kwahiyo informal na slums ni sawa?, mbona Tanzania haipo katika orodha ya UNDP katika kundi la nchi zenye slums?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa unalia nini?, hiyo namba hajaitoa kichwani mwake, wewe ilipaswa kupinga kwa data, sio kwa kutumia machozi na kamasi[emoji1][emoji1][emoji1]Achana na huyo mjinga. He can't even take time to reason and ask a simple question like how the hell on earth can 2.5 million people fit in an area measuring just over 2.5 square kilometers! That's a population density of a million people per square kilometer! Ujinga zingine ni za kupuuza tu
Yaani kama Uthiru, Riruta, Ruai, eti Ruai π π π π π π ., Githurai., kama hizo ni slum Dar ni slum 95%.., google earth msema ukweli.., bro Walker255 hana chuki, ako very objective na honest., wewe ukweli unakuuma., not all slumss are slummy as u think., if these areas are slums ina maana mko hovyo zaidi, na liko wazi sanaπππππππjibu langu kwako ni simple tu π€£π€£π
View attachment 2266340