Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nipo Nairobi wapendwa kiukwel huu mji ni wa ******* sana ngoja niamke nikapige picha halafu niwapandishie humu jukwaani muione hiyo Nairobi wanayojisifiaga hawa kenge
Weka hizo picha nikuulize maswali, nikuanike.
 
Dar-Moro: May 2022 Progress Video..
Naona wanafanya MGR relocation mpya kuelekea bandarin.. nadhan ile njia ya zaman ya MGR ya kuelekea bandarin ndo itakuwa njia mpya ya SGR kuekea bandarin..
Chekin hii video mpya.. ni ya dakk 4 tu
 
Leo nipo Nairobi wapendwa kiukwel huu mji ni wa ******* sana ngoja niamke nikapige picha halafu niwapandishie humu jukwaani muione hiyo Nairobi wanayojisifiaga hawa kenge
Leo nipo Nairobi wapendwa kiukwel huu mji ni wa ******* sana ngoja niamke nikapige picha halafu niwapandishie humu jukwaani muione hiyo Nairobi wanayojisifiaga hawa kenge
Maji yanatoka?
 
Government city Dodoma, [emoji991] jana jioni.
Pazuri mnoo.
Humo ukiingia na gari lazima upotee, ila wakimaliza ujenzi wataweka vibao kuondoa hii kusahau njia. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ujenzi wa majengo ya serikali unasimamiwa na JKT, nimependa sana hii.
Karibu asilimia 100 ya mafundi humo ni Watanzania tena wadogo wadogo tu.
 
Nchi ya one sport

Sisi tukihesabu za Athletics,volleyball,netball,kibadi, rugby and football leagues unadhani mtafikia ata 30%!!!
Leta fedha league ya ruby (kama ipo) washindi wanalipwa! I can assure u less than what ur football league got paid i.e. Tshs 18 mln!

Just like I said..around Tshs 1.8 mln as prize money!


Pretty sure uki-combain league zote Kunyaland hupati kiasi TPL inagawa as prize money.
 
The game changer I am referring to is the energy used to power the next industrial revolution, usiwe fala bana.
Hivi unajua maana ya "game changer?", Sasa eleza hiyo Lithium itawezaje kusababisha hiyo "game changer" katika hiyo sector husika?. Huna akili hujui lolote zaidi ya kuokoteza maneno na kuyatumia bila kujua unalotaka kulisema

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanapotea mpaka leo, nimeshasimamishwa na magari sijui idadi yake wakiniomba directions kwenda kwenye wizara tofauti tofauti kipindi nipo huko, wasimamizi wanatakiwa waweke directions za kila wizara.
 
How is it possible to convert radio frequencies to energy, his invention ni mind blowing, tesla should poach him
 
Kama hujui umuhimu wa lithium kwa dunia ya sahii, hio ni shauri yako, mimi siwezi kukusaidia.
 
Wewe kama hujui umuhimu wa Lithium unastahili kucharazwa viboko.
 
Nchi ya one sport

Sisi tukihesabu za Athletics,volleyball,netball,kibadi, rugby and football leagues unadhani mtafikia ata 30%!!!
Usisahau Golf which is one of the sports with the highest prize money per individual.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…