Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

but niwahi fotoa mapicha kadhaa juzi kama 2wks hivi, nikisafiri from nakuru heading to kisumu for a workshop, huku nikila mandhari mazuri ya kenyaland.! nadhan bado unafaham hizi picha na jinsi wabongo walivyobisha kuhusu aina ya usafiri yetu na vidude ama shuttle...



 
but also very rarely do we see your photos you pipo, pengine ni wee tu mmoja wa kwanza leo..🤔 ila pia naomba muwe more open, ili pia nasi tupate kujua bongo vyema zaidi
 
Kinyerezi 1 Extension project ...as we speak 45MW has been added out of 185 MW expected View attachment 2265291View attachment 2265292
So Tanesco yenyewe inakubali kwamba Tanzania imekuwa ikipata power black outs halafu wajinga wengine kama akina chongchung na coodip1 wamekuwa wakidanganya kwamba Tanzania haijakuwa ikipata blackouts. Huwa hampendi kushindwa, afadhali mdanganye kwamba hamna blackouts ili tu muweze kushindana na Kenya.
 
Wow congrats. Naona nyie mumeamua kujikita kwenye kuzalisha umeme kutumia gas. Sisi nasi tumejikita kwenye geothermal. Naona mwakani mtakuwa mnazalisha around 897 MW kutumia gesi. Sisi nasi tunazalisha 944 MW kupitia geothermal. Napenda jinsi kila nchi imeamua kujikita kwenye energy source tofauti kulingana na comparative advantage yake. Nyie mna gas kwa wingi na sie tuna geothermal kwa wingi. Tanzania pia mna geothermal, sema tu serikali yenu ndio haijaipatia kipa umbele. Ila nchi zetu zinajitahidi.
 
Wewe sema tu ulitaka kupost picha yako binafsi sasa umekuja na story ndefu ya kusema kwamba Wakenya huwa hatupost maisha yetu. Kuna watu wameanika maisha yao humu sana, including Wakenya. Ila chakula chako hicho kinapendeza.
 
Oky fine for example this is East Upanga and posta 👇View attachment 2265004heb onyesha huo ukubwa wa mombasa tuone and this is ilala 👇View attachment 2265009siweki Kariakoo wala ukubwa wa upanga yote kazi kwako
nairobaa reduces darslam to debri and shrapnel. image difference of a Least Developed Country and an Emerging Market is distinct, and you can never escape from tht, however much you try and play it safe

Dsm



Vs



Nbi
 
Wewe ndio mjinga wa mwisho halafu unamuita nairobae mjinga. Geothermal brine yaani yale maji ya geothermal huwa yana lithium compounds ndani yake. Hayo maji huwa pumped back into the ground bila kutumika ila huwa yana madini mengi. Sasa hivi scientists katika universities in US are trying to extract hio lithium kutoka kwa geothermal brine. Hio process ikifaulu basi geothermal brine ndio itakuwa one of the major sources of lithium. Kwa sasa lithium is mined in lithium fields lakini kuna demand kubwa ya lithium kushinda supply ndio maana bei ya lithium inazidi kupanda. Mining pekee haitoshelezi demand ya lithium ambayo inazidi kuongezeka kwa sababu idadi ya electric cars inazidi kuongezeka. Tunasubiri kuona kama scientists huko Marekani watafanikiwa kuextract lithium carbonate kutoka kwa geothermal brine in a cheap way.

 
Wewe aki walahi kumbe ni mjinga. Geothermal brine ya Kenya inapatikana hivi.
1. Mashimo yanachimbwa na yanatoa wet steam. Hii wet steam ni steam ambayo ina maji maji mengi. Sasa ili kuondoa maji maji kutoka kwa hio steam basi kuna pipes zinapeleka hio wet steam kwa kitu kinaitwa separator ambayo inaseparate steam na maji. Hio maji ndio inaitwa geothermal brine. Sasa baada ya hayo maji kuondolewa basi hio steam inakuwa 99.99% dry. Sasa hii dry steam ndio inakwenda kwa turbine. Hayo maji maji ya steam lazima yaondolewe ili yasiharibu turbine au kuleta corrosion au rust.
Tazama hii video kati ya 2:40 mpaka 3:40. Hio separator inaseparate maji na steam na steam inakuwa 99.99% dry na hio maji ambayo ndio geothermal brine inakuwa pumped back into the ground bila kutumika. Lakini hio brine ina madini mengi ikiwemo lithium compounds.
 
Wet steam ina madhara mabaya kwa turbine kwa sababu inaweza kucorrode turbine na kuiharibu. Kwa hivyo hayo maji lazima yatolewe.
 

Ive been following this guy for quite a while, i wonder why zimbabwe never takes him seriously with his inventions
 
By the way hii geothermal process ambayo unaelezea hapa sio sawa na ya Kenya. Hii goethermal process ya Kenya haitumii maji kuingia ardhini kuharness joto kisha kupanda juu na kuconvert hio joto into electrical energy.
Hii geothermal process ya Kenya inatumia mvuke directly na infact mvuke wenyewe una pressure ya juu sana na pressure ya mvuke huo ndio unayotumika kusukuma turbine. Hakuna heat to electrical energy conversion inayofanyika. Pressure ya mvuke ni mkubwa sana na pressure yenyewe imetosha kusukuma turbine.
Kwa mfano tazama hii pressure kubwa ya mvuke ya geothermal well ambayo Kenya inachimba huko Ethiopia.
Kuna geothermal well ingine ilichimbwa Baringo ambayo niliona ilikuwa na pressure kubwa hata kushinda hii. By the way, hii pressure ya mvuke inaweza kuongezwa by reducing the diameter of the pipes.
 
I think it may be because Zimbabwe is going through an economic crisis right now and the Zimbabwean govt may not have the resources to help this genius. Anyway I am not suprised that he ended up in the US. The US also poached the most brilliant European scientists after WW2. They poached Albert Einstein and other geniuses. The US is good at poaching talents everywhere in the world regardless of which country you come from.
 
Wewe mgeni humu? ******* kama hao walikuwa wengi kipindi uzi unaanzishwa ila cku hz unawaona? Ni kwasababu Tz imewaka kwa ss.
Ukweli haukai vizuri ndani mwako, ni moto unachoma roho yako😂😂😂😊😊, ni 2022 mjukuu.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…