Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kweli.
Kwa mapishi mnakulaga matapu tapu mazee[emoji1787][emoji1787].
Dar au Arusha ukitamka restaurant chakula ni uhakika sio kwenu restaurants zinapika kama mama ntilie
Basi let me tell you my difference ma kwenyu ni bei tu, your food is slightly cheaper than here but taste sioni difference, take that from me[emoji23]
 
Kwa kweli.
Kwa mapishi mnakulaga matapu tapu mazee[emoji1787][emoji1787].
Dar au Arusha ukitamka restaurant chakula ni uhakika sio kwenu restaurants zinapika kama mama ntilie
Nikama mnigeria aje kula tanzania, he wil find your food trash akatafute jollof rice, which simply to me i found it trash too, i hope that drives the point home
 
Basi let me tell you my difference ma kwenyu ni bei tu, your food is slightly cheaper than here but taste sioni difference, take that from me[emoji23]
No brother, kwa taste tumewapita mbaali sana, mnachotuzidi zaidi ni bei.
Pia to be honest Nairobi ni jiji zuri sana sana...hii battle ya Watz na Kenya ni kujitoa ufahamu tu.
 
Mara kwa mara huwa ninakuambia wewe ila bado hubadiliki, ninyi mnadhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi na nchi zingine zote zinapaswa kufanya hivyohivyo.

Huu ujinga wako wa kutojua Mambo usikufanye ukajifedhehesha, Umeme wa maji ni ×3 cheaper than Geotherm, umeme wa maji unaweza kuzalisha umeme mwingi kwa wakati mmoja.

Bwawa la Ethiopia na Tanzania yakikamilika, Kenya italazimika kununua umeme na kufunga baadhi ya visima vya Geotherm, kinyume cha Hilo, viwanda vya Kenya havitoweza kushindana na Ethiopia na Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kampuni ya kusupply farm equipments unatuonesha ndio nini sasa[emoji848] show us farms idiot
😅😅😅 Naona umechanganyikiwa
Sasa hao wateja wanaonunua zana za kilimo wanaenda kulima kichwa chako?

Eti nikuoneshe mashamba? Nenda kwenye shelves za maduka yenu utaona mashamba ya Watanzania 😅😅😅

 
Bentley Kenya ni kama IST bongo. 🤣 🤣

Hiv wakenya wa humu kwanin hampigag picha zenu wenyewe za matukio yoyote mnayoyaona barabaran au popote? Hamna usafir binafsi? Hamtembei tembei? Camera za simu mbovu? Angalau ukipita hata chin ya expressway muwe mnafotoa tu.. sis tukipita hata ile BRT ya kimara kibaha tunafotoa tu.. jengo lolote nzur tunafotoa tu na kupost humu..
ila wenzetu sasa picha zao nyingi ni za kudownload kutoka mtandaon

Anywah leo nimefotoa hizi kutoka salad for days..masaki..mtoko😄



Page yao IG ni hii
 
Mombasa sijafika mimi siongeagi uongo. Ikiwa nikifika na nikakuta mko poa nitawasifu.
Lakini Nairobi wanakula vyakula vya hovyo kabisa hawajui kupika😂😂
Lakini jiji la Nairobi na miundombinu iko bomba sana
Mombasa tumebarikiwa, hauhitaji pesa nyingi kula vyakula vitamu, ukitembea kwa streets utapana na bajia, shawarma, viazi karai, mkate wa sinia, haluwa, samaki wa kupaka etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…