Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee wa kujifurahisha hongera
Ukweli unauma, nyie wenyewe mmejifumania, Kila kitu mmeweka wazi dunia itazame maneno mengi wacha, mkificha, mzungu anawamulika kupitia google earth., Vumilia tu, uongo wenu ulifika mwisho.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukweli unauma, nyie wenyewe mmejifumania, Kila kitu mmeweka wazi dunia itazame maneno mengi wacha, mkificha, mzungu anawamulika kupitia google earth., Vumilia tu, uongo wenu ulifika mwisho.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We jamaa unajiskiaga upumbavu unaozungumza.? Kwamba unalinganisha Dar na mombasa au.? 🀣🀣🀣 Wanakula tako wewe sio bure
 
Sasa nenda uwaambie hawa wabadilishe waiweke Kenya juu ya Uganda kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2264982
According to hii report,97 % Kenyans are vegetarians hizo fast food zimejaa all over zinauzia foreigners pekee. 🀣 🀣 🀣
 
Tafadhali usiniulie mjukuu wangu, namhitaji, ata ni tag sgr yao ya umeme ikifika ili niwapongeze, tafadhali muache atulie tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
He he. Amesema aside nairobi, hakuna real estate kushinda Znb, laughable.
 
Wewe acha ufaller tupo Nairobi kila mara, kwanza restaurants zenu hamjua hata mapishi.
Ukiagiza supu ya kuku unaletewa maji...hamjui lolote kuhusu mapishi
 
Mombasa beibee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡View attachment 2264999kichaa mmoja anailinganisha na Dar yani hapa πŸ‘‡View attachment 2265000hujiskii aibu.? We kilaza Don YF .? Tofauti yake ni peponi na matoni 🀣
Unachukua kasehenu kujiliwaza tu., Dar ukubwa wake na upana tunajua ni nini., Town coverage wachana nayo, Mombasa imeilambisha sakafu., Dar ni picha ya ufukara, ni kasehenu ka CBD kanaficha aibu, so relax. Video clips, google earth, pics ziko mingi tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hee..! We jamaa kumbe upo serious hatari sana 🀣🀣
 
He he. Amesema aside nairobi, hakuna real estate kushinda Znb, laughable.
Anajichocha tu, he is a blind patriot, ata catch mafeelings ukiendelea kumchokora, he is stupidly sentimental about Tz to engage any reason, the tone in his responses πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,
 
Oky fine for example this is East Upanga and posta πŸ‘‡heb onyesha huo ukubwa wa mombasa tuone and this is ilala πŸ‘‡siweki Kariakoo wala ukubwa wa upanga yote kazi kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…