Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Au imeongeza kitita kwa mshindi wa kwanza Kenyan league toka Tshs 18 mln?
Kumbe siku hizi 2 mln ya Kenya ni Tsh 18mln,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., unatamani lakini wapi., Tanzania ni fukara tu bado..,
 
Records zinaonyesha tuliwapiga na hio ndio muhimu ju bado hamjavunja hio record.
 
There's no any single City in Kenya kando ya Nairobi which can battle Zanzibar when it comes to real estate development
Lishamba linakuaga limechanganyikiwa siku zoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lishamba linakuaga limechanganyikiwa siku zoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe huwa unasomaga juu juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, leta real estate kunako mombasa nikupe kichapo cha burukenge kutoka Zanzibar .. kama una pumbu nyoosha kidole juu jifanye kama unajikuna nikusyoroshe mchana kweupe
 
Sasa nenda uwaambie hawa wabadilishe waiweke Kenya juu ya Uganda kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amnesty International ambayo ni NGO inayoheshimiwa na Wazungu imeikashifu vikali serikali ya Tanzania kwa ukandamizaji wa haki za Wamaasai. Malazy chungeni otherwise mtaanza kupigwa sanctions na Wazungu. Ukiona Amnesty imeanza kubweka ogopeni sana, kinachofwata ni sanctions.
 
Kumbe huwa unasomaga juu juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, leta real estate kunako mombasa nikupe kichapo cha burukenge kutoka Zanzibar .. kama una pumbu nyoosha kidole juu jifanye kama unajikuna nikusyoroshe mchana kweupe
Wewe ni mpumbavu kupindukia,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., unaandika kwa maumivu kisa huwezi kubadili ukweli., mjukuu nenda beach ukazubae kule ukidanganya vilaza wenzako.,πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Swala la Wamaasai kufurushwa Ngorongoro linazungumzwa dunia nzima. Hii hapa SABC
 
Wewe ni mpumbavu kupindukia,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., unaandika kwa maumivu kisa huwezi kubadili ukweli., mjukuu nenda beach ukazubae kule ukidanganya vilaza wenzako.,πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii we jamaa picha za real estate ndio nataka mimi sio maneno matupu ..kwa mfano hii nikuchokonoe kidogo πŸ‘‡ Zanzibar beib leo nimejipanga utakula kichapo hadi upotee humu kenge wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lishamba linakuaga limechanganyikiwa siku zoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo kijana wa nyumba za squatter hua amechanganikiwa sana. 🀣 🀣 🀣
 
Mzee wa kujifurahisha hongera
 
Waonaje tufanye kajiado vs zanzibar real estate?
Kajiado ata Dar itahema sembuse king of uswazi Zanzibar Tanzania's bedrock of poverty and semi -illiteracy.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, unaijua Zanzibar wewe, fikra za watu wa mitaani!.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…