Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upembuzi yakinifu umeanza sehemu za Mbeya ewe Mungiki.
Very soon project ita take over
 
Eti hawa ndio Champions wenu. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Walipigwa na Kariobangi Sharks kama burukenge in front of your fans.



Tambe Ndio nani? Kwenye suala la soka kwa ss upande wa vilabu sina haja ya kuongelea Kenya, Tz kwa ss tunaongelea ligi kubwa kama champions league, usitegemee bingwa wa Tanzania akaja kucheza ligi za kipumbavu mshindi anapewa milioni 10 alafu aweke kikosi kizima, nyinyi kama mna makende pelekeni timu zenu champions na mjitahidi mfike makundi alafu mkutane na ma giants wa Tz muone. By the way Tz inapeleka timu 4 mashindano makubwa, nyie mnapeleka ngp [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa ajili ya matajiri wachache na wanasiasa but majolity of Kunyans including you hamli kuku.
Fast food restaurants ni mingi sana Nairobi na kama zote wanauza chips na kuku. Dar haiwezi karibia Nairobi kwa number of fast foods, nyinyi munakula zile kuku mwitu za kuchomwa kwa streets kama Mombasa, Nairobi hizo kuku mwitu ni popular sana kwa low income areas. Middle class suburbs fast food restaurants ndio mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…