Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya tunaproduce 944 MW of geothermal power. Soon tunatinga 1,000 MW of geothermal power. Nchi ya Ethiopia ni ya pili kuproduce geothermal power in Africa ila wao wanaproduce 5 MW pekee kwa sasa. Baadaye Ethiopia itaproduce more geothermal power wakati miradi zake miwili zitakapokamilika. Nyie lazy bones endeleeni kujenga mabwawa ya maji.
 
Kenya ni mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gdp ya Tanzania ilikuwa kubwa kushinda ya Kenya mwaka wa 2003 wakati rais Kibaki anashika usukani. Kuanzia hapo, huyo mchumi aliikimbiza uchumi wa Kenya tukawaacha mkimeza vumbi.
 
Wabongo hawajui kuchangamsha events, ebu ona comparison ya World Cup Trophy tour in Nairobi vs Dar. Yet both events zilipangwa na the same company. Kenyans are very creative and active at events, wabongo muwache ushamba. 🤣🤣🤣

Nairobi.




























Dar es salaam 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣









wako photo session lakini wote wamekasirika.🤣🤣🤣🤣 mgeni amechangamka kuliko wenyeji.




 
Ujinga mwingine bwana..., hiyo smile ya Wakunya imeondoa ban ya FIFA dhidi ya Kenya?Au imeongeza kitita kwa mshindi wa kwanza Kenyan league toka Tshs 18 mln?
 
Ujinga mwingine bwana..., hiyo smile ya Wakunya imeondoa ban ya FIFA dhidi ya Kenya?
Washamba sana nyinyi, event yenu imeboeka, hamna creativity at all, nikama mulilazimishwa ku attend. Hatuna hara we are still sorting our football issues, tutarudi mambo ikiwa sawa.
 
Washamba sana nyinyi, event yenu imeboeka, hamna creativity at all, nikama mulilazimishwa ku attend. Hatuna hara we are still sorting our football issues, tutarudi mambo ikiwa sawa.
Au imeongeza kitita kwa mshindi wa kwanza Kenyan league toka Tshs 18 mln?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…