The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Lipa Kodi hakuna kuchekeana msimu huu..Huu ni unyanyasaji sasa kwa wananchi kila kitu kiwe kulipia lipia tu,unafuu uko wapi kwa mwananchi kumpunguzia makali ya maisha?
Leo ndio mara ya kwanza mkenya anakimbia battle ya kuonyesha mitaa zao 😂😂 amejificha kwenye kichaka cha airport na sokoAcha uoga, kwani masoko na airport are not not development?😂
Mimi nakupeleka pole pole, after fire station nakupeleka Kwa bus station. Huko residential area tutafika tu na utaanza kulia venye unalia hapa😂😂Leo ndio mara ya kwanza mkenya anakimbia battle ya kuonyesha mitaa zao 😂😂 amejificha kwenye kichaka cha airport na soko
Tumia hizi, upunguze maumivu. 🤣🤣🤣Kumamaee zako mm sipendi wajinga kama wewe.
Tako liliwe au lisiliwe Kodi lazima kulipwa na huna cha kufanya unless Bunge liamua tofauti.We sio bure unaliwa tako wewe
Huyo hana shaka, mind you siku nikimkuta jehanam wallahi na mm naelekea huko huko mana haitokuwa na maana tena kutenda mema duniani.
Niliwahi kusema humu ,Mwanza huwa inaaibisha Tzn kuita Jiji la pili..Real estate ya mwanza 🤣 🤣 🤣 🤣 City ya kishamba sana.
Kisumu Real Estate
Usije kujaribu kuniletea mazoea tena mbwa wewe, mm ninapokuwa humu nakuwa nipo serious.Tumia hizi, upunguze maumivu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii seriousness pelekea Mama yenu awatengeneze barabara huko Dar. 🤣 🤣 🤣Usije kujaribu kuniletea mazoea tena mbwa wewe, mm ninapokuwa humu nakuwa nipo serious.
Wewe ushakuwa muongo na yeyote anayekujibu akili zake haziko sawa.Kwani mitaa zote Dar zina barabara mbovu. Hata nimechoka kupost.
Sa unataka kusema EATV wanadanganya. 😁Wewe ushakuwa muongo na yeyote anayekujibu akili zake haziko sawa.