Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeanza kulia mapema aje? Kama hakuna soko Arusha just say so.

This is Otonglo Market in Kisumu.

unamaanisha kisumu hii ambayo mpaka leo watu wanakodi usafiri wa baiskeli kama boda boda au kisumu ipi hiyo?
 
This battle tunataka kupeleka pole pole step by step. So far the scores is Kisumu 1, Arusha 0.

Next ni sporting facilities. Can any Tanzanian show us Arusha stadium?

This battle tunataka kupeleka pole pole step by step. So far the scores is Kisumu 1, Arusha 0.

Next ni sporting facilities. Can any Tanzanian show us Arusha stadium?

View attachment 2263936
Arusha international conference centre, can any Kenyan show me international conference center in kisumu [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…