Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Swala la makazi na planning? 😂😂😂😂😂😂😂
What have you been smoking lately? Swala la makazi na planning wakati Dar yote panafanana hivi? 😃😃😃😃
Is this what you call planning?
 

Attachments

  • Screenshot_20220527-004347~2.png
    419.2 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220527-002828.png
    474.6 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220527-003344.png
    483.5 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220527-004945~2.png
    362.3 KB · Views: 20
Hii picha ya mwisho, huo mlima uko kisumu kweli? 🤣
That's not Kisumu!
Kitu nimegundua ni kwamba watanzania huogopa sana Kisumu na hii ni dhihirisho la wazi sana. Juzi tu kuna picha moja ya Kisumu ilitupwa hapa mkapiga sana keleke kwamba si ya Kisumu. Na leo hii pia! Kisumu mtazidi kupinga picha zake na bado, safari ndio imeanza!

Well, Tanzanians, that's Kisumu na hizo milima ni milima za Nandi (Nandi Hills). They are very much visible from most parts of Kisumu town and the environs. Naona Kisumu inazidi kuwatoa jasho jembamba ila poleni sana 😂 😂
 
[emoji23][emoji23] wakenya bhana mnapenda kujichoresha ..
we kila siku unagundua tu,endelea kugundua tu

Jobless kweli siyo nzuri

eti kisumu
 
Honestly, I had an impression that Kisumu is a big town going by how it is being talked here. But now I am really shocked to hear that it has a diameter of 10km only.
 
Updates: The Masais from Ngorongoro have arrived safely at their new village in Msomera!



Maandamano ya Wamasai wa Tanzania dhidi ya uzandiki wa Wakunya, Ubalozi wa Kunyaland DSM




CC: Tony254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…