Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilifkiri ungeleta kitu zaidi ya hiki, kumbe umekuja na maneno matupu [emoji23][emoji23][emoji23] zikiwa NAIROBI nyumba kama hizo zinakua ni nyumba tu kawaida and u ar bragging of having them, lakini kwasababu sahii zinaichapa Kisumu ati ni squatters [emoji23][emoji23] very funny
Ni nzuri sana ila napenda kusisitiza mamlaka zinazohusika kujikita katika upandaji miti kwa wingi, kwa nguvu zote na kwa lazima na kuitunza mpaka iwe mikubwa.

Italeta view nzuri sana.
 
IMG_8032.jpg

IMG_8033.jpg
 
Sisi Wakenya kupiga kelele ndio kumewafanya mkawapa majumba na title deeds na free transport. Otherwise mlikuwa muwauwe kabisa na kukosa kuwapa fidia.
Kilio cha wakemya kimezaa matunda. Tanzanians ni waoga kwanza wa hapa jamii forums Kenya section
 
Sisi Wakenya kupiga kelele ndio kumewafanya mkawapa majumba na title deeds na free transport. Otherwise mlikuwa muwauwe kabisa na kukosa kuwapa fidia.
Sasa nyumba zimejengwa kama uyoga (mushroom) , yaani overnight nyumba hiyo . It was process , nyumba zilijengwa kitambo . Punguza ujuaji mkunya
 
Kilio cha wakemya kimezaa matunda. Tanzanians ni waoga kwanza wa hapa jamii forums Kenya section
Hata politicians wao na govt officials wanaogopa Kenya. Yule Inspector general wao wa polisi alikuwa anaongea kwa uoga halafu anasema "nchi fulani ambayo sitaitaja inafaidika na mbuga huu." Yaani hata hawezi kutaja Kenya juu ya uoga.
 
Sisi Wakenya kupiga kelele ndio kumewafanya mkawapa majumba na title deeds na free transport. Otherwise mlikuwa muwauwe kabisa na kukosa kuwapa fidia.
Kwahiyo nyumba zimejengwa kwa siku mbili? My friend Mkunya, don't overshoot ur relevancy! Nyie mmepiga kelele kwa vile mmepoteza malisho mlikuwa mkiwatumia kuingiza mifugo! Sasa wanaondoka nasi tunawangoja nyie wa upande wa pili!

Aisee mkong'oto mtakao kutana nao, mtaenda simulia! Nadhani unajua when it comes to anything with Kunyan-Kimbelembele elements huwa hatukopeshi!! Hata wewe schwaini, unakaribishwa ili uje simulia humu ndani! 🤭 🤭 🤣 🤣

BTW tuko mbioni ku-ban Kenyan Masai kuja Oldonyo Lengai kufanya initiation rituals mnakosa adabu shenzy type!
 
Sasa nyumba zimejengwa kama uyoga (mushroom) , yaani overnight nyumba hiyo . It was process , nyumba zilijengwa kitambo . Punguza ujuaji mkunya
Tumeshapeleka kesi International Court of Justice (ICJ). Subirini summons mtaitwa soon kortini mje mjieleze.
 
Usiue wajukuu wa south., wahurumie tutawahitaji kesho for entertainment, waache wapumue bana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .,., sasa ni Dar vs Mombasa town area rasmi, kumbe Dar ni kadogo kwa Mombasa ikija town coverage, kumbe hii👇👇 uharo na population ndio ukubwa, google earth ni kiboko cha mtanzania😂😂😂😂😂😂
1655373252907.png

1655373270192.png
 
Back
Top Bottom