Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hebu tazama hzi picha mbili ziko sehemu moja kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au unatafuta nafuu
View attachment 2260471View attachment 2260470View attachment 2260472View attachment 2260473View attachment 2260474
Unapata tabu, pipeline haikuwa na lami or cabro some time back kukinyesha inakua kero, afterwards Mike Sonko alicheza kama yeye na kuweka cabro n some places termack., haupati yale una post in 2022.., ama leta evidence ya 2022., ona sasa πŸ‘‡ πŸ‘‡ ., mbona inawauma sana kuona Nairobi inaboreshwa? zoea najua ni uchunguπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


 
Naujua uchumi wa Tanzania na Mwanza vizuri sana, na ninaweza kukuhakishia kuhusu huyo Muwekezaji siyo kama mnavyoambiwa, kama ni kweli ipo siku mtarudi hapa kuja kulalamikia haya mnayoyasifia!
Sawa mkuu mawazo yako yanaheshimiwa.
 
Wenyewe wanasema aliua uchumi wa kaskazini πŸ˜”
 
He he mnaona daladala hizo, lakini ukija JF watakwambia hazitumiki.
Nani kakuambia dala dala hazitumiki? Hapo kuna BRT inakuja hutoona huo ushuzi tena, sisi tuna akili kubwa hapa EA na ndiyo maana unaona mambo yetu yanaenda, baada ya BRT kupita hapo zen hayo mabasi hutoyaona CBD na ndipo Dar itatangazwa rasmi kuwa one of the few African cities to be organized.
 

Save your energy my fren, anajua vizuri kile kitu unamwambia lakini hawa jamaa zetu ni wanatafuta consolation, dawa ni Ku ignore.
 
Ni kweli alihamisha wanyama kutoka sehemu nyingine lakini tangu awali walikuwepo, na iliitwa Burigi game reserve,ikizinguka pori la Kasindaga ambalo liko Biharamulo na Muleba, pori la Kimisi liko Karagwe.Haya mapori yote ndio yalitengeneza game reserve inayoitwa Burigi ,Wizara ya maliasili ikaipandisha hadhi na kuitwa Burigi Chato national park.

Malalamiko ya wana Biharamulo ni kwanini hifadhi iko kwao na inaitwa Chato,why isiitwe Biharamulo national park au Burigi national park?
Kuna ziwa ambalo liko Biharamulo linaitwa Ziwa Burigi. So wanyama wamekuwepo kitambo sana kabla hifadhi haijapandishwa hadhi.
 
Asante kwa tbt, njoo kivingine.
Hawa ni tbt tu watapata kuhusu Nairobi, 2022 Nairobi imepiga hatua, hii inawaumiza sana, wamebaki na historia kujiliwaza.., sasa Naona after siasa, baada ya kuzindua miradi inayoendelea Mombasa., Dar tuwachane ipambane na mwenzake Mwanza na Arusha., hapa mchezo umeisha sasa wapige siasa zao..,
 
Wakenya mnataka kuiua dar Port kabisa ifungwe., punguzeni speedy
 
Sasa kama tangu awali walikuwapo mbona ahamishie wanyama kule? Hao simba 17 na wanyama wengine tusiojua? wacha ubishi mzee kuna wanyama walihamishiwa kule! End of the story! Watu wa Biharamulo wamekataa Burigi kuitwa Burigi-Chato NP wanataka iitwe Burigi NP!
 
Kuna mtu humu aliahidi kuweka sitting room yake humu kwamba inakaa ya millionaire lkn mpk leo yupo kmy, baada ya kumbana akaleta picha ya guest house aliyoipiga picha aki claim ndio kwake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naujua uchumi wa Tanzania na Mwanza vizuri sana, na ninaweza kukuhakishia kuhusu huyo Muwekezaji siyo kama mnavyoambiwa, kama ni kweli ipo siku mtarudi hapa kuja kulalamikia haya mnayoyasifia!
Mkuu inaonekana kuna kitu unakijua zaidi ambavyo tunajua. Sibishi tena wala kuongeza neno ,ngoja tujipe muda tutaujua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…