Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani kuna mahali wamekwama hasa kwenye suala la uchafu. Ila hii inaanzia kwenye familia nadhani napo ni wachafu vile vile ndio maana wanaume wanawalalamikia wake zao kwamba hawafui na kuoga hadi wananuka.

Kuna habari nimeisoma mwanaume anamswakisha mke wake kwa lazima na kipigo juu kisa uchafu, sasa kama akina mama ni wachafu kiasi hiki wataweza kuifanya jamii iwe safi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hizi zina muda mfupi sana hutaziona tena ,serikali inakuja na mpango kabambe kuipanga upya dar na kuboresha makazi, achana na DMDP.Kuwa na utulivu sisi siyo watu wa maneno maneno bro tunapiga kazi sasa hivi usiku na mchana.
Sio Tanzania ya karne hii, ufukara mlio nao itawachukua mda, pengine muujiza ufanyike lakini sio kwa uchumi wenu.., kila kitu kiko wazi karne hii, vitu havisongi in Tz, miradi inajikokota unasema nini wewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 

Brazilian investors out to alter face of Mwanza city

ippmedia.com

Jun 14, 2022 10:59 AM

MWANZA city residents in hilly areas will soon be relocated to pave the way for Brazilian investors to put up infrastructure for apartments, manufacturing and tourism projects.


City mayor Sima Constantine.

City mayor Sima Constantine said in an interview yesterday that the relocation plan will involve Igogo, Isamilo and Kegoto areas, with the planned investment initially projected to take up 150bn/-.

Investors from the sprawling ancient capital city of Rio de Janeiro had arrived in the city, looking for investment opportunities involving work in the three sectors, to which the city agreed as this initiative will improve infrastructure and tourism,

Other areas they target include building farm produce factories catering for the Lake Zone regions, where road construction and hillside apartments overlooking the lake shores are prominent components of the project plan, he stated.
The development of the Lake Victoria beach area, the Nera neighborhood and a naval police station are other projects, part of a wider zone for investments and tourism, he said, noting that this initiative will support economic growth of the city and individuals, meanwhile as it adds to the scenic beauty of the city.

In the agreement, the city authorities will provide the land and investors will provide the capital and technology, in which case the project, when completed, will benefit both parties.

The city authorities will compensate the residents in the earmarked areas so that they leave to pave way for the proposed investments, with the land clearance and completion of all plans to be done within three months from now, he said.
The Brazilian investors are looking for other places to extend that kind of investment, especially in Dodoma and Arusha regions, he added.
 
So kunyaland cbd mpaka hii leo hiace bado zinaingia!
 
Hii ndio hali halisi ya huko ngorongoro,binadamu wamechanganyika na wanyama,angalia hiyo video simba kakamata ng'ombe wa masai kaenda kumuokoa ng'ombe wake,binafsi sioni kama serikali imekurupuka kuwahamisha wamasai,hoyo video imekatwa ila huyo masai aliwatukana sana hao watalii walioshoot hii video
 

Attachments

  • thewildlife_tz_1655201359462193.mp4
    5.1 MB
We subiri tu kaka, utakuja kunipongeza siku si nyingi [emoji4][emoji4]
 
Yaani hii nimeipenda sana Mwanza itakuwa na mandhari nzuri sana kwenye hivyo vilima.
 
Investors have now discovered the new route of wealth [emoji383][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Idadi ya Maasai na wanyama imezidi kuongezeka na kuwa kubwa na kutishia usalama wa wild animals, so kama wakiondolewa kwa haki mbona hakuna shida kabisa hapo.
 
Hapa Biashara ya Kuzoa taka wameicha tu duh, Hela kibao hapa.
Ni ngumu kutenganisha kati ya Kenya na uchafu kaka, mm ukinitajia Kenya jambo la kwanza kuja kichwani mwangu ni uchafu la pili njaa la tatu mauwaji alafu yanafuata mengine kama wizi na miradi white elephant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…