Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Mtu mmoja aliwahi kusema humu wao walishaacha kutumia hizo nguzo.😂😂Alafu bado wanatumia nguzo za umeme za miti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]upuuzi tu, mumeguswa kipele munaanza kulia na hili jambo nilijua tu munahusika nyinyi sio bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni kwa kutoneshwa kipele
Kenya haiwezi kuwepo bila Tanzania, wanatutegemea kwa kila kitukwani nyinyi mamabo ya tanzania yanawahusu nn au kuna sehemu mumeguswa amabayo mulikua mukifaidika nayo??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siyo kujiona muarabu,malezi yake hasa dini ya kiislam inawataka watoto wote wa kike kujisitiri maungo yao.Lakini pia amependeza mama zetu wa Kiafrika hujistiri namna hii.Huwa anajiona mwarabu sana. Tatizo ngozi lake bado ni nyeusi. Ana mitindo ya kiarabu kiarabu. Hata kuzungumza kwake kuna uarabu mwingi.
Mtu yeyote au nchi yoyote inayodhani inaweza kuishi na Kenya kwa amani na maelewano bila kutumia "Confrontation type of relationship" anajidanganya.Mama ndio kaanza ukatili. Sisi hatukuwa na tatizo na yeye hapo awali.
Si mzanzibari ulitaka azungumze kama jaluo?Huwa anajiona mwarabu sana. Tatizo ngozi lake bado ni nyeusi. Ana mitindo ya kiarabu kiarabu. Hata kuzungumza kwake kuna uarabu mwingi.
Utaambiwa hii si Nairobi!sisi nye nye nye 🤣🤣🤣
Dar jiji kubwaHizo interchange 5 underway zote zinazinduliwa mwaka huu.. ndio mtajua hamjui, BRT system tunayo tena 3 phases while uko kwenu 0, mkija huku kwenye interchange (uwanja wenu wa kujidai) tunapindua meza soon .. 5 years 9 interchange [emoji23][emoji23][emoji23] sujui mtajivunia nini nyie jamaa, jiandaeni kisaikolojia..
Hii Mandela road ndio itaenda mpaka Ubungo na Tazara?
Mabwege hao,tena tunawataka viherehere wa kikunya wavuke border kuleta huo upumbavu wao tuwape kesi ya kuua askariWakenya tayari wameshawasilisha kesi katika international court of Justice (ICJ) na kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kukandamiza haki za kibinadamu za wamaasai wa Tanzania.
waiteni hapa alaf wakatae sasa [emoji23][emoji23][emoji116]
View attachment 2259784View attachment 2259785View attachment 2259786View attachment 2259787
Kuna umuhimu mkubwa wa kupiga senyenge na kuweka ulinzi mkali wa askari na mbwa waliotrain vizuri kwenye border zote tulizopakana na kunyalandMaasai wa ngorongoro wamejengewa nyumba nzuri sana Tanga shule na vituo vya afya kupitia uongozi wao walikubaliana kuhama ndio maana serikali ikawekeza hela kwenye makazi yao mapya wamepewa pamoja na mapori huko Tanga ya kulisha mifugo yao sasa leo wanakataa kuhama inaelekea kuna kamchezo kinaendelea na it seems kuna ambao hawakuwepo mwanzoni ila sasa wameona watu wamepewa nyumba na maeneo bure na wao wakaja kuhamia hapo ngorongoro ili na wao wajumuishwe kwenye mpango wa kupata nyumba bure. Most likely they are from Kenya. Though I do not condone the use of force or any measures that hurt people.
Sasa hapo ni maana ya barabara....Tulisema ile ilikuwa picha ya uzinduzi, watu wakapita bure, sasa hii ndiyo picha kamili sasa, watu wameanza kulipishwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona wana GDP kubwa..si wabadilishe usafiri...watafute hata mabasi ya kama ya mwendokasi..Alafu angalia public buses za Kenya aisee, yn ndiyo ziko hvyo hvyo zootee, jamaa ni mafukara mno mm nawaambia ndugu zangu, Wakenya ni mafukara zaidi ya unavyoweza ku imagine.
Middle class! [emoji23][emoji23][emoji23]Hapa Chini hata Mkokoteni hupiti Duh.
View attachment 2259859