Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kitu cha 2012 sio?
but hoja langu halikua aviation persè... bali jiji linalo angaziwa zaidi kwa areas kama zote.. acha ntakuletea from other areas outside aviation ndo ucheki venye nairobaa is the most highlighted city in this side of the sahara
 
Interchanges zenu ni za jua kali
 
Sasa kuna haja gani ya kuuliza which one is walkable city wakati picha yenyewe inajieleza?
 
Wakenya tayari wameshawasilisha kesi katika international court of Justice (ICJ) na kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kukandamiza haki za kibinadamu za wamaasai wa Tanzania.
 
Wacha wazungu wapigane wenyewe kwa wenyewe. Wanatudharau sisi Waafrika sana. Waumizane tu.
Sasa mbona mnataka kuingilia mambo ya North Korea kwani ana ugomvi na nyie. Mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe.
 
Kuna mambo yanaendelea huku. Sikuwa free muda mrefu kidogo ngoja nitafute chanzo cha hii habari kwanza.
 
Wakenya tayari wameshawasilisha kesi katika international court of Justice (ICJ) na kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kukandamiza haki za kibinadamu za wamaasai wa Tanzania.
This is a very nice move by Kenyan Maasai brethrens to stand in defence of their counterpart in Tanzania, very inspiring indeed
 
Tutafunga mpaka halafu tuone jeuri yenu [emoji16]
Ndugu tumia akili kidogo basi kinachofanyika Ngorongoro sio sawa, kama kweli kuna wakenya walikuwa wanaingia wangechukua hatua kuwazuia ili shughuli ziende vizuri.
Suala la kuwahamisha sio sawa ni muhimu kuhakikisha wanaendelea kuishi kwa amani na wanyama
 
Hili jambo la kuhamisha Wamaasai lilikuja kwa Al Jazeera 3 months ago. Mlikuwa mumeshapanga kuwatoa miezi mitatu iliyopita.

 
Wanataka boyfriend wa mama fulani aje kuwinda wanyama huko bila kusumbuliwa na Wamaasai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…