Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inawezekana kabisa system iliyowekwa ni ya kitambo (outdated) kwa sababu ya issue ya incompatibility hawawezi weka kuanzia windows 8 , 10 au 11
The chinese are supposed to upgrade their software ili iweze run on newer Windows kuepuka matatizo huko mbeleni.
 
Thank you for exposing Dar CBD for what it really is. Ukisikia NDINDA chongchung na Shebby01 wakiongea kuhusu Dar utafikiri huko ni heaven.
 
Hizo ni paa tuu huku chini huwa wanapiga rangi.
Wacheni ushamba. Siku hizi aerial views, aerial videos, aerial photographs ndio kitu kinachopendwa na watu. Hususan tangu ujio wa drones hamna budi ila kurenovate paa ya haya majengo. Yameoza sana. Drone videos vitawaumbua sana.
 
labda mm nikusaidie kitu naomba utofautishe kati ya kisutu, old CBd na new CBd hapo ukiweza na kupata majibu sahihi nitag 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii ni aibu kwa mji wenye city authorities inamaana either hakuna sheria ya mifugo mjini au you are just negligent.
Nairobi sisi hapana tambua ustaarabu wenu wa kijinga. Ngombe Maasai analisha vizuuri bora awe na permit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…