Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,237
- 35,655
Kama uganda anawaogopa kaichukueni migingo,nyie jamaa sijui uwa mnajionaje sijui!Uganda huwa wanatuogopa sisi ni baba yao. Wakijaribu huu upuuzi wa kuban bidhaa zetu sisi tutafunga port yetu kwa mizigo ya Uganda. Watafute mahali pengine ambapo 80% ya mizigo yao itapitia. Ujue Dar port, Mtwara port na Tanga ports hazina uwezo wa kuhandle an extra 7 million tonnes. Lazina mpanue ports zenu sana ili ziweze kuhandle hii 7 million tonnes za Uganda ambayo port ya Mombasa huwa inahandle kila mwaka.
Hii Tanzania ni Colony ya Waarabu. Wamekubali kukaliwa na WaarabuKuna genocide inanukia, waarabu wanataka ardhi ya maasai kwa nguvu. Let's spread the news
Tanzania is not safe for tourism
View attachment 2256297View attachment 2256298View attachment 2256299
Halafu senator mzima anachapia Kidhungu ati "mained"? Ni nini hiki?Huyu tunampiga Persona non grata.View attachment 2258025
Unajielewa kweli? Hakuna Cha maana tunawauzia yet Kenya imewauzia bidhaa za pesa mingi kuliko zile Tanzania imeuza Kenya.Tanzania wins more sababu hakuna cha maana mnachotuuzia
Yes. Last year Kenya sold goods worth $700M to Uganda.Kumbe trade kati ya Kenya na Uganda ni $1.14 billion wakati trade kati ya Kenya na Tanzania ni $0.95 billion.
Watanzania wapumbavu mnashabikia swala la wamasai wakati ccm inafanya uchafu kwa watz wenzetu huu ni upumbavu ulio tukuka ...wakati ccm inawaua wazanzibar kila wanapo chagua upinzani zanzibar ccm inatuma askari kuwaua haya mambo siyo ya kushabikia ..... hakuna mmasai angekataa kuama kama kungekuwa kuna maslai ya haki huu uzi kwa sasa umevamiwa na wahuni wa ccm ...sabaya kashitakiwa wakati ajamwaga hata tone moja la damu lakini tuna ambiwa ni jambazi ....sasa hawa wanao mwaga damu ya watz kwa lengo la kupora ardhi yao tuwaite watakatifu View attachment 2258027View attachment 2258028
Wakati mipaka inafungwa kuna ambao walishangilia,hizi habari kwao zinaweza zisiwe njema,Jamani tutumie akili vizuri,hakuna mshindi wa kununa ama vita,huko ni kujilisha upepo,watu wafanye biashara wapate hela nyingi....hawa jamaa wanajua tukiwa nahela nyingi hatutawaliki kirahisi,unaweza kuta umaskini ni mtaji wa wanasiasa ndio maana watu wakiwa na bidii wanaogopa sanaTanzania's regional position
Hahahaha ni wapi ametaja Kenyan maasai hapo? Nikikuambia uwachane na blogs za kipumbavu unataka kulia. 🤣🤣🤣🤣 Sasa ona unajipiga kidole by quoting the correct source.Huyu tunampiga Persona non grata.View attachment 2258025
Utalii gani unaongelea? Mwaka Jana kipato cha utalii Kenya ilikuwa mingi kuliko ya Tanzania. So shut up.wakenya wenzenu munawatuma waje huku walete fujo kwenye hifsdhi zetu au kinachowauma nyinyi kwann tanzania inafanya vzr kwenye utalii 🤣🤣 naona munaiogopa sana tanzania
hiyo ni pond!
Kwahiyo huyo senator Ole Ludema anadanganya kwamba hao wamasai ni kutoka Kenya?Kataeni wamaasai wenu kabisa. Ata mngesema maasai sio kabila la Tanzania lakini ukweli haufichiki. Ngorongoro ni shamba la wamaasai kihistoria.
Sasa huyo Mkenya mwenzako anasema tofauti na weweNi mchanganyiko. Kuna Wakenya wengi wanakuja TZ kununua bidhaa na kuzileta Kenya. Na pia kuna Watanzania wengi wanatoa bidhaa TZ na kuzileta Kenya.
Nakubali,Ni afadhali tuwauzie izo cheap products until tutakapokua na uwezo wa kuziprocess kua more valuable products, kwa sasa cha muhimu tufanye biashara...9900 lories from Tanzania translates to $118M. 3000 lories from Kenya translates to $138M. In simple terms Kenya export less but valuable products to Tanzania while Tanzania export more but cheap products to Kenya.
Tanzania media is shitHuyu tunampiga Persona non grata.View attachment 2258025
Huyo Ledama anasema hao wamasai ni kutoka Kenya. Huku Tanzania ni tofauti, hatuwachukulii wamasai wa Kenya na Tanzania Kama wamoja, hao ni raia wa Kenya na huku Kuna Maasai wa Tanzania, Maasai wa Kenya wakiingia bila kufuata Sheria za Tanzania tunawashughulia ipasavyo Kama wakenya wengineUsichokijua ni kwamba Wamaasai ni kitu kimoja. Usitegemee mama yenu apige Wamaasai wa Tanzania na Wamaasai wa Kenya wanyamaze.
Majirani hawana umeme wa kusukuma train zao bado wanapambana na dizel powered engines, tatizo hawakuwekeza kwenye huu mradi,ulishuka kutoka China
Ndio maana raila anasema one county one factory/ product.Nakubali,Ni afadhali tuwauzie izo cheap products until tutakapokua na uwezo wa kuziprocess kua more valuable products, kwa sasa cha muhimu tufanye biashara...
And hey,jitahidini muwekeze shambani,mnakula sana mahindi ambayo hamuyalimi,uchumi wenu bado bro, nchi ilioendelea lazima kwanza watakua wakulima hodari ndio wawekeze viwanda,kuna steps mmeruka na ni ya muhimu...
Ndio maana hadi leo Africa tunahangaika na vita ya Russia vs Ukraine kumbe ni ngano hatulimi ya kutosha,mashamba tunayo tuko apa kujimwambafai na vitu baseless
Hadi Sasa Tanzania ndio the biggest source of Uganda imports, sababu kubwa ni Kenya kuendekeza "hostilities" na Uganda, mkiendeleza huu ujinga wenu, Uganda itaamua kuachana na ninyi katika Mambo mengi.Halafu Uganda wamengoja 2 years saa hii ndio wameamua kuban bidhaa za Kenya kwa sababu ni wakati wa elections. Wanadhani Kenya haitafanya lolote, watashangaa sana.