Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante Moderator kwa kuwapiga ban wahuni kama hawa wanaotaka kuharibu uzi kwa makusudi kisa tunawazidi maeneo mengi, pia huyo muhuni ana I'd nyingine inaitwa Coco Master pia nayo naomba uipige life ban, na ikikupendeza pia naomba umuangalie kwa makini muhuni mwengine anaitwa nairobae Wakenya tunaomba muwe wastaarabu shida mlizonazo msizilete humu kwenye huu uzi tafadhali.
 
Ndiyo biashara mnayoweza hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka rolls ngapi nikuwekee kwa Probox ije mbio hadi gongo la mboto πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Utangoja sana we mefiiiiii. 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Mambo mengine huwa yanasikitisha sana, sasa kama hatulitaki jengo kisa linafanana na la mkoloni mbona tunashangilia SGR inayofanana na ya mkoloni.
SGR imefanana vipi na mkoloni wakati hiyo ni sayansi na technology [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]sisi tunaongelea design ya kukopi jengo la mkoloni ambalo katumia akili ya miaka ya1900 hukoo kubuni sasa unatumia ubunifu wa zama za mawe na kuujenga tena ...ni sawasawa na kujenga kiwanda cha magari ya kizamani na kuyaleta leo tz nani atanunua ... dunia ya sasa ni dunia ya modification ndiyo maana tunajenga sgr badala ya ile reli ya mgr ya mkoloni
 
Mambo mengine huwa yanasikitisha sana, sasa kama hatulitaki jengo kisa linafanana na la mkoloni mbona tunashangilia SGR inayofanana na ya mkoloni.
SGR INAFANANA NA RELI YA MKOLONI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] MGR[emoji40][emoji40][emoji40]
 
Wabongo wana vituko ajab. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Si bora kaburi lilikuwepo kabla ya barabara kuliko hii iliyojengwa na ma engineer wa kikenya, no wonder serikali ya Kenya haiwapi hata cm moja ya roads zinazojengwa kwa donation toka China [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na mimi je? pia nipigwe ban ama? unaonaje? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , huu uzi pia umechoka sana, wacha watu wastarehe kwa raha zao, mbona ume panic?
 
Kwahiyo jengo likifanana kwa nje it means na ndani liko hivyo hivyo, na iweje Magu aseme hawezi kumuachia mgeni amjengee nyumba yake ya kulala, sasa alitaka kuficha nn ilihali kila kitu linafanana na lile la Dar?
 
Na mimi je? pia nipigwe ban ama? unaonaje? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , huu uzi pia umechoka sana, wacha watu wastarehe kwa raha zao, mbona ume panic?
We mlevi tu kama dyfre huwa unaropoka ropoka tu usipigwe ban wala nn, huwa unachekesha jukwaa kwa wishful thinking zako.
 
We mlevi tu kama dyfre huwa unaropoka ropoka tu usipigwe ban wala nn, huwa unachekesha jukwaa kwa wishful thinking zako.
Wewe ndio king wa wishful thinking humu, na ndoto za aliniacha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , eti Tz GDP is $150B na pato la taifa ni size ya Ugandan type economyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., biggest and busiest airport, biggest portπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, pumzika bana., wewe inafaa upigwe ban walai kwa kujaribu kupotosha, pia na vipicha., Moderator piga huyu jamaa ban, ni mwehu kweli.,πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni jambo la kawaida electricity posts kusongeshwa barabara inapotengenezwa, hata hii ilisongeshwa tu hakuna cha kushangaza hapo. Kaburi kwa barabara hilo ni jambo geni sana. 🀣 🀣 🀣 🀣 wabongo munazikana hadi kwa barabara.
 
Piga nduru vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…