Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Apa naona huleti fact tena bali siasa na miemko,ukiniambia private sector ilishuka ningekubaliana na ww ni kweli kabisa , kuna sera mbili zinazo bana na kuachia pesa kwenye mzunguko ambanzo ni monetary na fiscal policies, kipindi cha mwenda zake alitumia sana fiscal policy , ndio mana gvt ilikuw km center of everything...
Ila akuna haja tuachie hapa umesha ingiza siasa kwenye uchumi.
 
Tatizo la kufanya mambo bila mpangilio mwafaka kisa Kenya wamefanya.., ona kununua ndege, eti na wao wawe na national carrier pia, matokeo ni losses after losses, year in year out.,
Ndio maana inasemekana usishindane na ndovu kwenda choo
 
Wewe angalia industrial output wakati wa kikwete then compare na output wakati wa JPM hata exports za bidhaa za viwandani zilishuka sana wakati wa kikwete tulishafika US 1.2bn ikashuka mpaka 400m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…