joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahahaha, wewe argument yako ni hovyo Sana, kwahiyo wewe hujali mamilioni ya watanzania wanaoteseka badala yake unajilinganisha na watu 300 wanaoishi vizuri na wewe unawatumia hao wabunge kuwa ndio "role model" wako, huo Sasa ndio ubinafsi, Kama hujui watu binafsi wakoje, jitizame wewe, huna sababu ya kutoka nje ya chumba chako ili kutafuta watu wabinafsi," very good example of selfish person is tuusan"Tusihame kwenye mada,
Hivi mbunge ambae ni waziri analipwa milioni ngap?
Yani tukisema watu wanaotafuna hii nchi na sisi mnatutaja kweli ?sisi tunawahudumia watz kwa ujira mdogo wewe mwenyewe unakiri hapo Au ulitaka hizi kazi tuzifanye bure mjenge barabara na vituo vya mabus tu
Jaribuni tena kuingiza mifugo yenu au vifaranga tena muone kitakachowakutaKafuatane na magufuli kaburini mkachome mizimu ya vifaranga vya kenya
Nisamehe kaka mkubwa, nimekosa, nimekosa, nimekosa Mimi.Si kumtetea just have sense of conciousness if not understanding udhalimu mkubwa ulifanyika kwake!
si muwachukue mkawaweke Masai mara au Amboseli au Tsavo? Au hawana haki na those masailands in Kunyaland?
Wewe ndio ungeniambia kama maasai wa kwenu hawana haki. Mbona mnawafukuza kwa mashamba ya mababu zao mmpee beberu?si muwachukue mkawaweke Masai mara au Amboseli au Tsavo? Au hawana haki na those masailands in Kunyaland?
Wafanyakazi wa serikali akili zao zimejaa mafii kichwani kama mshahara ni mdogo si akajiajili kanuni ya kiuchumi ya nchi ambayo ni masikini na inataka kuondoka kikweli kwenye umasikini nilazima mishahara ya wafanyakazi itumie asilimia 25% tu ya BAJETI YA SERIKALIHahahaha, wewe argument yako ni hovyo Sana, kwahiyo wewe hujali mamilioni ya watanzania wanaoteseka badala yake unajilinganisha na watu 300 wanaoishi vizuri na wewe unawatumia hao wabunge kuwa ndio "role model" wako, huo Sasa ndio ubinafsi, Kama hujui watu binafsi wakoje, jitizame wewe, huna sababu ya kutoka nje ya chumba chako ili kutafuta watu wabinafsi," very good example of selfish person is tuusan"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Jambo linalotia hasira ni kwamba, hata wakiongezewa hiyo mishahara, hawafanyi kazi yoyote zaidi ya kuchart na kuchezea simu Kama sio kuzunguka kwenye seminars na safari za kikazi zisizokua na faida yoyoteWafanyakazi wa serikali akili zao zimejaa mafii kichwani kama mshahara ni mdogo si akajiajili kanuni ya kiuchumi ya nchi ambayo ni masikini na inataka kuondoka kikweli kwenye umasikini nilazima mishahara ya wafanyakazi itumie asilimia 25% tu ya BAJETI YA SERIKALI
wa kwenyu wako Masai mara sio?Wewe ndio ungeniambia kama maasai wa kwenu hawana haki. Mbona mnawafukuza kwa mashamba ya mababu zao mmpee beberu?
Vipanya tanzania vinatumika kwa kazi zisizo rasmi maeneo ya maporini huko kwa usafiri wa dar vilipigwa marufuku miaka ya 90 huko kupeleka abiria mijini , hivyo kama mtu anakitumia anakitumia kuhudumia vichochoroni siunajua makazi yetu ayajapangika vizuri mitaani ...hivyo vinatumika kinyume na sheria maeneo yasiyo fikiwa na mabasi ndani ndani huko tena vinatumika kama tax bubu tuKwa hivyo nyie hamna vipanya huko kwenu? Mbona wewe na Lwiva mnajifanya kana kwamba hakuna kipanya Tanzania?
Maasai Mara sio ngorongoro crater. Huwezi fananisha. Maasai hawajawahi kuishi maasai Mara.wa kwenyu wako Masai mara sio?
Wewe nilikuambia ni keyboard warrior mshamba. Ni kama hujui tofauti ya spacious na comfort.Acha kujiabisha hapa ukweli unaujua gari kubwa ni more comfortable than gari ndogo huwezi kulinganisha saloon car iwe merc au bmw na range rover au land cruiser vx hii hata kwenye ndege ni hivyo hivyo kama huwa unapanda ndege lakini.
Kipimo cha kipanya ni mtu akisimama ndani bila ya kukaa lazima ajipinde mgongo hivyo gari zote kama vibasi ambazo abiria akisimama awezi kusimama wima hivyo kwetu ni vipanyaHehehe. Nadhani wanaita all types of matatu vipanya isipokuwa buses. So mathree ndogo kabisa for example mololine shuttle na hata hizo minibuses zao wanaziita vipanya.
Mimi nipo hapa naangalia mtanange kati ya Geza Ulole vs marehemu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi uamuzi wa shamba kuwepo au kutokuwepo kwenye chanzo cha maji huamuliwa na NEMC au DC? JPM alikuwa mkabila aneyependelea Wasukuma wa Chato na victims wake wengi walikuwa watu wa Kaskazini. That's a fact can never be denied! Nilete evidence?
Moja alikuwa na mpango wa kumega ardhi ya Kagera Biharamulo na Kigoma kuileta Chato na kufanya Chato mkoa bila idhini ya wakazi wa sehemu hizo ila kwa matakwa ya watu wake wa Chato!
Pili alikwapua hela za uwanja wa Chato nje ya maadhimio ya Bunge kujengwa kijijini kwake badala ya makao makuu ya mkoa!
Tatu baada ya kulazimishia ziwa Burigi na ardhi inayolizunguka kuwa chini ya Burigi Chato NP alihakikisha inakuwa na gate Moja tu la Chato umbali km 82 na Mji wa. Biharamulo ambao upo km 16 akauzuia kufaidika na rasilimali za hifadhi.
Nne, aliilazimisha TANAPA kujenga hoteli ya nyota tano ya gharama ya Tshs 11 bln Chato akitulaghai ni nyota tatu. Mpaka leo haijakamilika. Kumbuka alipoingia 2015 alipiga marufuku ukamilishaji wa hoteli ya ghorofa 16 NSSF Mwanza.
Tano, Nyingine zaja...
-Ni mimi Mchagga wa Machame
Geza Ulole