Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,804
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa haka ka viaduct kata pitisha tani ngapi ya mzigo? Na kanaelekea wapi na bandari imejaa. Nionyeshe mahali marshaling yard ya dar SGR port iko.Angalia hii video Dakika ya 3:55 [emoji116]. Utaona viaduct anayojengwa Ili kuiunganisha reli yetu na bandari .. Cc Tony254
Nimeona hio diversion inayokwenda bandarini ila barabara ya reli hapo mbele imezibwa na majumba. Majumba haya yatabomolewa lini? Maana hapo kwa port hakuna nafasi ya reli kupita itabidi majumba kadhaa yabomolewe.Angalia hii video Dakika ya 3:55 👇. Utaona viaduct anayojengwa Ili kuiunganisha reli yetu na bandari .. Cc Tony254
Wanafikiri Tanzania ni kama their fuqd up country, katika vitu Tanzania tunapaswa kujivunia ni kutunza natureJamaa hawajui kitu kuhusu Tz lakini wanalazimisha kutuzumgumzia 😂😂😂 Wana matatizo si bure
WalipelekagaZaidi ya 35% ya Tanzania ni virgin reserved area, wanakaa wanyama tu, FYI Game Reserves ni nyingi kuliko National Park, unaposema Burigi ni eneo liliopandikizwa wanyama inaonesha namna huijui Tanzania
View attachment 2254396
Hakuna space ya kujenga mashalling yard hapo. Nadhani ndio maana wameijenga inland. By the way kwa hio video ya Sama boy 255 nimeona wameanza kujenga diversion yenye itaenda hadi kwa port, lakini juu hakuna space hapo kwa port itabidi wabomoe manyumba nyingi sana.Iko wapi marshalling yard ya sgr tanzania kando ya port? bila dude kama hili pale kilindini, sgr ya tanzania itakua ni ya kazi bure tu. mombasa mzigo unaekwa direct kutoka kwa meli hadi train wakati dar port mzigo unatolewa kwa meli unaekwa juu kwa lori ambayo inasafirisha mzigo hadi pugu alafu mzigo uingie sgr. hio ni gharama na kupoteza mda. heri uchukue mzigo wako kwa lori direct kwa port kama zamani tu. Sama boy 255
View attachment 2254413
Cc chongchung wewe ndio hujui chochote kuhusu nchi yako.Walipelekaga View attachment 2254443
Sahv chato kunafanana hata na bomang'ombe kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani kauli ya JPM aliyosema watu wa kaskazini wasubiri kwanza tupeleke maendeleo kanda ya ziwa hukuisikia? Au anataka chato iwe kama Florida hukusikia pia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]m7 anazingua sana yani anataka afie kwenye kiti[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu uko na hasira sanaa leo[emoji23][emoji23], naikubali wisdom yako ila wakiku chocha weee kinaumana[emoji16][emoji16][emoji16]
Ni utaratibu wa kawaida kabisa wa TANAPA, hata Ngorongoro walipelekwa rhinoceros kutoka mkomazi hiyo haimaanishi Ngorongoro haijawahi kuwa na wanyama, same to KituloWalipelekaga View attachment 2254443
Hii nchi huniambii kitu bro, hii nchi nimeanza kuizunguka nikiwa na miaka 12, mpaka nafika miaka 16 hakuna mkoa Tanzania sijakanyaga.Cc chongchung wewe ndio hujui chochote kuhusu nchi yako.
Miradi yote unayoskia inafanyika DAR ujue kuna nyumba kadhaa zilibomolewa si barabara, masoko, magorofa n.k .. hivyo hivyo kwa SGR yetu kuna nyumba nyingi zilivunjwa na zitaendelea kuvunjwa mpaka pale reli utakapofka bandarini, kuhusu reli itafikaje bandarini mimi sijui kwasababu sio mimi niliyefanya visibility study, but u need to wait and see..Nimeona hio diversion inayokwenda bandarini ila barabara ya reli hapo mbele imezibwa na majumba. Majumba haya yatabomolewa lini? Maana hapo kwa port hakuna nafasi ya reli kupita itabidi majumba kadhaa yabomolewe.
Kusha bomolewa na kusafishwa hivi sasa kazi inaendeleaHakuna space ya kujenga mashalling yard hapo. Nadhani ndio maana wameijenga inland. By the way kwa hio video ya Sama boy 255 nimeona wameanza kujenga diversion yenye itaenda hadi kwa port, lakini juu hakuna space hapo kwa port itabidi wabomoe manyumba nyingi sana.
Nafkir atakua kaelewa vizuri sasaNi utaratibu wa kawaida kabisa wa TANAPA, hata Ngorongoro walipelekwa rhinoceros kutoka mkomazi hiyo haimaanishi Ngorongoro haijawahi kuwa na wanyama, same to Kitulo
Tony254
View attachment 2254459
Unazungumza kama kweli vile....Kenya sio Tanzania.., Turkana has better road infrastructure, airport and electricity connectivity for economic take off, Kenya sio Tanzania.., in the next five years we double the gap..,
Iko wapi marshalling yard ya sgr tanzania kando ya port? bila dude kama hili pale kilindini, sgr ya tanzania itakua ni ya kazi bure tu. mombasa mzigo unaekwa direct kutoka kwa meli hadi train wakati dar port mzigo unatolewa kwa meli unaekwa juu kwa lori ambayo inasafirisha mzigo hadi pugu alafu mzigo uingie sgr. hio ni gharama na kupoteza mda. heri uchukue mzigo wako kwa lori direct kwa port kama zamani tu. Sama boy 255
View attachment 2254413
Shida ya nyie wakenya mna Tabia ya kujifanya mnaijua TZ lakin niwaambie tu ukweli hamujui chochote kuhusu TZ DAR Port Iko na eneo kubwa tu la kujenga hiyo marshalling .. 👇Hakuna space ya kujenga mashalling yard hapo. Nadhani ndio maana wameijenga inland. By the way kwa hio video ya Sama boy 255 nimeona wameanza kujenga diversion yenye itaenda hadi kwa port, lakini juu hakuna space hapo kwa port itabidi wabomoe manyumba nyingi sana.
Hyo flight number ndiyo route ya ndege mkuu, kwa mfano TC inaenda mara mbili ka Nairobi, ikienda saa 11 alfajiri inakuwa na flight number ya TC 200, ikirudi Dar saa 3 asb inakuwa TC 201, ikiondoka jioni inakuwa TC 202 ikirudi ucku inakuwa TC 203. Kesho tena miruko inajirudia ila wakiongeza mruko mwengine flight number pia inaongezeka kutoka hizo nilizokutajia.Flight number huwa haibadiliki kinachobadilika ni equipment inayotumika on that flight number.
We Jamaa unafurahisha sana hii ni musoma nimepiga picha kwa simu yangu juzi Kati tu wakati nilipokua huko..👇Kenya sio Tanzania.., Turkana has better road infrastructure, airport and electricity connectivity for economic take off,.., in the next five years we double the gap..,