Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpaka watanzania wenzako wanakuona kituko sema kwa uzalendo wanakupuuza.
 
Mombasa vs mwanza is a non starter, if you are a Kenyan please refrain from that stupid argument
Naona umepata vocabulary mpya unaitumia kila saa hata mahala pasipostahili.

Alafu hii tabia ya kupangia watu cha kuchangia naona bado hamjakoma, alafu mnamuandama yule yule mkenya mwenzenu eti asichangie kitu, mbona cc humu kuna Watz wako kinyume na Tz sometimes lkn tunawapinga kwa hoja bila kuwachagulia cha kuchangia?
 
Mombasa vs mwanza is a non starter, if you are a Kenyan please refrain from that stupid argument
True, minus economic capitals, no city beats Mombasa in SSA outside Nigeria (Abuja) and South Africa (Cape Town, Durban, Pretoria and Port Elizabeth)
 
We taahira mbona usihangaike na nchi yako ikomeshe njaa unakuja kujichanganya na fools hapa, halafu unajikutaga we kenge, sijui ni sababu wabongo huku wanakutajataja, kwa taarifa yako huna lolote 😅😅😅
 
Heeeheee shwain
Sikuelewi unataka kuvumbua nini hapa?
Katika wakenya mataahira humu wewe ni mshika kibendera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…