The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Inaitwa hivyo hivyo sukuma wiki, hilo jina limetokea Tz hiyo mboga huku kwetu ni kama mboga ya kuleta hamu, yn unakuta kuna mboga zingine alafu mboga ya majani lazima iwepo sasa hapo ndio utakuta mtu ana mboga nyingine alafu na mboga ya majani pembeni kama sukuma wiki na nyingine. Ila nyie kwenu hiyo ikipikwa ndio inakuwa mboga yenyewe hiyo hiyo moja.Sukuma wiki wazungu wanaiita kales
View attachment 2250558
View attachment 2250560
Cc NDINDA coodip1 Geza Ulole
Nyie mnaiitaje huko kwenu?
Hesabu za CPA holder [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amenishangaza sn bwana Tony kulinganisha mapato ya minerals na remittance, hyo $3.7b GoT imepata kwenye kodi tu hapo hazijahesabiwa pesa ambazo Watz na wasio Watz wanapata na kupeleka nyumbani kama hizo remittance, mzunguko wa money from mining ni mkubwa mno inaweza ikawa mara 10 ya pesa za remittance, kwanza remittance co source of govt income unawezaje kulinganisha na Govt revenue from mining industry?
Bado hiyo ni initial agreement baada ya hiyo agreement ndio tunaenda kwa undani zaidi kuweka sawa makubaliano ya kisheria, fedha na udhibiti.
Sukuma wiki wazungu wanaiita kales
View attachment 2250558
View attachment 2250560
Cc NDINDA coodip1 Geza Ulole
Nyie mnaiitaje huko kwenu?
Hesabu za CPA holder [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukienda soko la uhindini kisutu unayakuta wanayaita hivyohivyo sukumawiki au kales!Nimegundua ni jamii ya Cabbage. Nimegundua hata Spinach zipo za aina Nyingi pia.
Bongo sisi tunakula sana Tembele, Mchicha, Spinach, Figiri, Majani ya maboga na Cabbage. Sio vigeni sokoni na magengeni.
Ulitaka yachelewe? Kuna watu mumejaa mausaa vichwani..
Tony I thought kwa CPA yako usingepata tabu kutofautisha kati ya tax revenues na non tax revenues. Hiyo 3.5bn ni tax revenues inayopatikana kwenye 30% corporate tax, pay as you earn tax (PAYEE) na VAT kwenye Fuel and Oil.Hata hio mapato yenu ya madini ya $3.5 billion ujue most of it inaenda kulipa expenses kama salary, maji, stima ya mining companies. kisha sehemu fulani inaendea GoT kama taxes, dividends and royalties kisha sehemu fulani inabaki na investor kama faida. Mimi sio mjinga unidanganye kwamba hio $3.5 billion yote inakwenda kwa serikali ya Tanzania. Wewe na The best 007 tafuteni mjinga mwingine wa kudanganya. Mimi sidanganyiki virahisi.
Mnajaribu kudanganya watu kwamba hayo mapato ya madini ya $3.5 billion yote yanaenda GoT. Upuuzi mtupu. Some of it inaenda kulipa expenses za kampuni, zingine zinaenda GoT na zingine zinabakia na mwekezaji kama faida. By the way faida ya mwekezaji huwa inatumwa nchini mwao so hio faida mwekezaji huwa anairudisha kwao nyumbani whether ni Australia, Canada e.t.c. Hio ndio inaitwa "profit repatriation"Hesabu za CPA holder [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio majani ya maboga.Nadhan ni majani ya maboga
SafiTani 22 za Parachuchi ya Tanzania zawasili Uholanzi..
Tunazidi kufungua soko la Ulaya[emoji116]
Acha ujinga,hayo ni mapato ya serikali moja kwa moja kama hii Til.3 ya Utalii 👇Mnajaribu kudanganya watu kwamba hayo mapato ya madini ya $3.5 billion yote yanaenda GoT. Upuuzi mtupu. Some of it inaenda kulipa expenses za kampuni, zingine zinaenda GoT na zingine zinabakia na mwekezaji kama faida. By the way faida ya mwekezaji huwa inatumwa nchini mwao so hio faida mwekezaji huwa anairudisha kwao nyumbani whether ni Australia, Canada e.t.c. Hio ndio inaitwa "profit repatriation"
View attachment 2250583
Cc The best 007 chongchung
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hesabu za CPA holder [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hiyo $3.7bn inajumuisha na pesa ya investor ambayo inarudishwa kwao iweje waseme Tz imepata $3.7bn kwenye mining? Inakuwaje na pesa ya investor iwe ni ya Tz?Mnajaribu kudanganya watu kwamba hayo mapato ya madini ya $3.5 billion yote yanaenda GoT. Upuuzi mtupu. Some of it inaenda kulipa expenses za kampuni, zingine zinaenda GoT na zingine zinabakia na mwekezaji kama faida. By the way faida ya mwekezaji huwa inatumwa nchini mwao so hio faida mwekezaji huwa anairudisha kwao nyumbani whether ni Australia, Canada e.t.c. Hio ndio inaitwa "profit repatriation"
View attachment 2250583
Cc The best 007 chongchung