Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekamata maumbwa. Wacha tuone venye watajitetea coz World Bank inasema Kenya ina 39,995 km of national roads na 77% ya hii barabara ni paved. Jamaa afanye hesabu atueleze what is 77% of 39,995.
Cc chongchung
 
Umekamata maumbwa. Wacha tuone venye watajitetea coz World Bank inasema Kenya ina 39,995 km of national roads na 77% ya hii barabara ni paved. Jamaa afanye hesabu atueleze what is 77% of 39,995.
Cc chongchung
Tangu lini hawa wajinga wakajua hesabu? Ubishi za kijinga ndio wanajua
 
Bado nchi yetu ni kubwa sehemu nyingine hazijawahi hata kuguswa kwa matumizi yoyote.
 
Tufanye hivi lete article ya kuanzia mwaka 2015 inayoonesha shida ya maji Dar na mm nilete ya Nairobi usiweke picha za vijijini wkt mm naweka picha za ka Nairobi.
 
Tatizo lao they want us to believe Dar or Tz is more paradise than Kenya, lakini ufukara wao haufichiki, umesambaa kwa upana, in Kenya u hardly see poverty at first glance, ata in Nairobi itabidi utafute slum ama uulize upelekwe not like Dar ukiwa kwa ndege ufukara unaonekana wazi wazi umetapakaa sehemu kubwa ya jiji.,
 
Hio sio citation. Hio ni report ya World Bank. Na kuna sentensi imezungumza kuhusu paved roads unless wewe ni kipofu.
 
Okay, mim silii kwamba data zenu ni fake..na sitegemei excuses nyingine sasa kutoka kwenu πŸ˜‚πŸ˜™
hapa mnakubali au mnabisha .. hio data ya mwisho ni report ya 2019 kama yenu
View attachment 2247644
Okay, mim silii kwamba data zenu ni fake..na sitegemei excuses nyingine sasa kutoka kwenu πŸ˜‚πŸ˜™
hapa mnakubali au mnabisha .. hio data ya mwisho ni report ya 2019 kama yenu
View attachment 2247644
Bado ni kidogo sana. Tony254 don't let these people to harass you.
 
Huyu co wewe umesema Uhuru ameongopa?[emoji116][emoji116]View attachment 2248335
That is me, kwa vile najua miradi mingi ya barabara zenye Uhuru alizo kamilisha alipata zikiendelea na kwa hivyo amejumuisha kwa number yenye yeye alianzisha fresh.., my point is Kenya iko na 23,000km of paved roads, whether Uhuru alijenga 10,000km fresh or 5,000km zakee pekee, haibadilishi kauli yangu., I am a logic and critical thinker nanii.., kama kutoka Kisumu, Kakamega, Kitale to Lodwar heading to South Sudan mimi najua ni project ya Kibaki ila Uhuru amekamilisha, lazima amejumuisha kwa zake.
 
Hizi articles zote ni recent na zinaongelea water shortage in ka Nairobi, kwnn unakuwa mbishi mpumbavu unayetaka kubisha kila kitu? Hivi Kenya ni ya kushindana na Tz kwenye suala la maji safi na salama? Ubishi wa kitoto huu naachana na wewe.
 
Hapa sasa ndipo huwa wanakuchukia unapoamua kuwafanyia ufukunyuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wanajiulizaga sana anawezaje kukumbuka??
Hawa mbwa wana utapiamlo, hawali lishe bora ikiwemo kuku pia hawali ndio maana wanasahau sahau sn.
 
Vi estate vyenyewe c ndio hvyo vya upande upande na bati nyekundu juu ukiongeza angle kdg ushuzi unaonekana, estate za kweli zinajengwa Dodoma na itakuwa fundisho hapa Africa jinsi gani miji inapaswa kuwa.
Google earth msema ukweli ilnaonyesha vizuri sana how well planned and organized our estates are na modern housing, sio kama zile zenu za vasco da gama 80% ya sehemuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sisi hatuweki angles za kupotosha na upande upande, tunamwaga sehemu kubwa na pana kupitia google earth yenye wewe unaweza ukadhibitisha, mambo ya angle angle tumewaachia nyie fukara mtumie kuficha aibu kwa vile mkichukua picha wide angle ni aibu tupu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kwahiyo hizi nyumba na zile zenyu za mabati na mito ya kinyesi ikikatiza katikati zipi mbovu? Halafu hizi ni za kitambo kumbuka, zenyu ni recently brother.
 
Ulimwambia kutumia lugha gani? Juu kingereza hujui.
 
Tanzania 3-Kenya 0.Tunangoja referee atamatishe game [emoji1][emoji1][emoji1]
Tanzania 0 - 10 Kenya.., kwa mjibu wa VAR(yaani World Bank) πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…