Stop beating around the bush. Leta link ya ile ripoti yako niliyokuitishaAngalia mazingaombwe ya kilometers za kunyata π π π π 2000 kilometers of paved roads is less expensive than 700 kilometers π π π π
Numbers nev lie π€£π€£π€£
Wakunya sijui ufala wa kudanganywa na viongozi wenu utaisha lini
View attachment 2247784
Alisema yale Uhuru alisema alijenga ilikua yake na Kibaki., the point is barabara zilijengwa, lakini swali ni hili, za Uhuru ni ngapi kiuhalisia? alizo anzisha na kukamilisha..,Raila Odinga ndiye mtu wa kwanza kusema kwamba Uhuru Kenyatta alidanganya hakujenga, aliyasema enzi zile akiwa mpinzani kabla ya BBI, kumbuka Raila pia anadhama ya kuangalia miundombinu ya Afrika, Je hata yeye pia ni mwongo?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hebu leta hiyo data ya TRA tuone basi. Huenda kuna ukweli hapoTra ndio wanasajili magari sasa hapa ni unatapatapa
Kama kaongopa basi tuishie hapo hapo kwamba hakuna 10k km of paved roads zimejengwa na uhuru, paved roads in Kenya ni 11k km as we speak.Alisema yale Uhuru alisema alijenga ilikua yake na Kibaki., the point is barabara zilijengwa, lakini swali ni hili, za Uhuru ni ngapi kiuhalisia? alizo anzisha na kukamilisha..,
Fact remains 23,000km Tanzania 9000km, whether ni Uhuru ama Kibaki alijenga, ziko Kenya., kalilie kwa choo π π π π π πCc Tony254 Teargas nairobae MK254 Mashashola komora096 kujeni muone mwenzenu amekiri kwamba Uhuru ni muongo, sasa kuanzia leo nisisikie mkunya anasema Uhunye amejenga 10k km of paved roads [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oya chongchung umewakaba kooni mpk wanasema ukweli sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unahamia Tanzania wakati hatujamalizana na Kenya?Tukumbuke in 2022 90% of roads in Tanzania haziko tarmacked, Kenya kwa sasa ni 87% or there about.., wakubisha abishe na facts π π π π π
Unaumia, hatuwezi fanana.., 23,000km. kalilie kwa choo nanii.., Kenya Bureau of Statistics wako na website nenda kajisomee.., mko hovyo sana, 9,000km kwa nchi kubwa kama Tz π π π πKama kaongopa basi tuishie hapo hapo kwamba hakuna 10k km of paved roads zimejengwa na uhuru, paved roads in Kenya ni 11k km as we speak.
Ziko wapi sasa hizo 23k? Au tufanye kitu kimoja, tuanze battle ya long tarmacked roads between Tz and Kenya cz hizo pekee zitatoa jibu nani ana paved roads network kubwa between us, mpo tayari?Fact remains 23,000km Tanzania 9000km, whether ni Uhuru ama Kibaki alijenga, ziko Kenya., kalilie kwa choo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeoziomba mpaka nimechoka ππππππ Heb tuonyeshe angalau uzinduzi wa 500km za barabara
we compare and contrast, Kenya 23,000 Tz 9,000km, kuna dhambi? 90% not tarmacked in Tz,., zoea ufukara wenu kakaMbona unahamia Tanzania wakati hatujamalizana na Kenya?
Exactly., anzisha, kuna facts kibao, na google earth pia itaonyesha wazi wazi.., fungua haraka upesi niwaonyeshe Tanzania yenu ilivyo ukilinganisha na Kenya..,Ziko wapi sasa hizo 23k? Au tufanye kitu kimoja, tuanze battle ya long tarmacked roads between Tz and Kenya cz hizo pekee zitatoa jibu nani ana paved roads network kubwa between us, mpo tayari?
Hizi data sio za media wala NGO, ni data za serikali yenu πππ au serikali ya uhuruKwa sababu media na NGO zinatabia sawia na nzi. Kama vile tu nzi hupenda kula mavi, vile vile media na NGOs hupenda kufocuss na habari za huzuni na habari za tanzia kwa sababu habari hizo zinawaletea pesa zaidi.
Yaani nyie fukara hamkuzoea maendeleo ndio maana any road project ni kitu kikubwa sana Tanzania, kama mnazindua lift sembuse barabara., narudia nyie ni watu hovyo sana π π π π π πUzuri ni kwamba sisi kila siku tunaweka miradi mikubwa ya barabara humu ndani, hizo barabara za kwenu mlikua mnazitengenezea wapi? ππ
Wameishia kusema 'wivu' π€£π€£π€£π€£π€£Hapa uliwadaka kweli kweli na hakuna wa kuku challenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ulipowakamatia bro naomba ushikilie hapo hapo π€£π€£π€£ ikiwezekana gonganisha zile gololi mbili mara mbili kwa siku plz πππHizi data sio za media wala NGO, ni data za serikali yenu πππ au serikali ya uhuru
View attachment 2247938
yani mtanzania awe na wivu na kenya serious??π€£π€£π€£ hvi wakenya wangapi wanawivu na tanzania na hawapendi kuona tanzania ikipata maendeleoWameishia kusema 'wivu' π€£π€£π€£π€£π€£
Saiv JF pachungu πππππππKapanick [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa ground π€£π€£π€£π€£Alisema yale Uhuru alisema alijenga ilikua yake na Kibaki., the point is barabara zilijengwa, lakini swali ni hili, za Uhuru ni ngapi kiuhalisia? alizo anzisha na kukamilisha..,
Hawa ni vilaza, hawpendi ukweli ata ushushe picha from google earth showing how Tanzania looks like wao watapinga tu, very poor country out of their own ignorance.,Kenya is not heaven on earth. If you expected everything in Kenya to be 100% good just because we score high in HDI then am sorry that's not the case. We are a developing country with a host of challenges, just like any other.
But the beauty with it is that despite UN reports showing we have a host of challenges like the ones you have highlighted above, the same UN reports also show that we score high in HDI. Isn't it funny that you are only comfortable with certain UN reports about Kenya but dismiss certain sections of the same UN reports? What makes one UN report true in your eye but dismiss another report by the same UN? Double standards can't get better than this.
And by the way, can you show us UN reports showing Tanzanians living in better houses? At least I can show you a UN report showing Tanzanians living in extreme poverty