Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa paved nadhani wanahesabu barabara zilizochongwa za vumbi. Ndio maana inaleta mkanganyiko huu wote hapa.
 
Hebu leta hiyo ripoti ta TRA tuisome? Link, not that one-line screenshot you pasted here yesterday
Pole kwa maumivu, daima hamuwezi kuwa mbele ya Tz when it comes to number of registered vehicles.
 
Tafadhali naomba uitunze hii kwa matumizi ya baadaye, na usidhani kwamba hawajui kuwa uhuru anawaongopea, wanajuwa fika ila wakiwa twitter ndio uwanja wao wa kilio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tony254 mwambie Rais wako akiwa muongo awe basi na kumbukumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sio unakua na uongo wa zettabytes, ubongo wa kuku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2247787
Hizi data za mchongo Kenya ziko across the board mpaka kwenye GDP data kwahiyo sioni ajabu. Halafu mjue huu ni mwaka wa uchaguzi hence projections of rosy figures to fool voters.
 
Wewe kwani hujui kwamba kuna Quick reaction force ya KDF huko DR Congo? Hujui lolote kuhusu Kenya lakini unapiga mdomo kama kasuku.
 
This is at least realistic compared to the world bank data

🙄 Astonishing is the same government popping up all these unmatchable statistics within hours of interval differences 😂

View attachment 2247791View attachment 2247793
As at 2018 naona hii report iko sahihi kabisa., Kama by 2022 Kenya iko na 23,000 km paved roads, hiyo itakua only 13% tarmacked ya total road network which is around 160,886., so kwa sasa tutasema over 85% of Kenyan roads are not tarmacked. Sioni la ajabu hapo., na haibadilishi ukweli, still Kenya has most tarmacked roads in East and central Africa. Mko hovyo sana.., kwa vile mko na network chache, whether tarmackesd or not, ina maana sehemu kubwa ni pori tu., kwa vile kwenu ni 86,472km of road network., yaani kwa sasa in Tanzania 90% of road network haiko tarmacked. Wakati mwingine jifunze kufanya utafiti nawewe 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…