Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbona picha moja sasa ?? 🀣🀣🀣 zingine ziko wapi ushajua kutaofautosha kati ya main road na streets sasa

siku utapata streets za kufananisha na mwanza nitag nifunge acc πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tweet yako ni ni ya 2021 hio nimepost ni ya last week, you don't make any sense.
So? Una maanisha construction haikufanyika au imeisha?

We una akili kweli wewe, It's still valid, the road is still under construction.

Tena ukiangalia hiyo picha hapo utaona kibao cha ofisi ya mkuu wa mkoa.

Jiheshimu wewe, Acha ubishi wa kitoto wa kupotezeana muda.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Walaaa nimecheka sana !
 
hio barabara inajengwa na ukitaka ushahidi sema tu ntakupigia kwa simu yangu mwenyewe 🀣🀣🀣🀣🀣 munaumiza vichwa bure tu
Mkuu wa mkoa anapokea wageni nje ya sewage eti ju barabara inatengenezwa. 🀣 🀣 🀣 Hamna aibu mbele ya wageni.
 
Mkuu wa mkoa anapokea wageni nje ya sewage eti ju barabara inatengenezwa. 🀣 🀣 🀣 Hamna aibu mbele ya wageni.
ofisi ya mkuu wa mkoa iko ilala over 5km from CBD na ushahidi kua hio barabara inajengwa huu hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

kwann uumie kwann unalia namna hii🀣🀣
 
Yenu ni ndani ya CBD tena nje ya offisi ya mkuu wa mkoa. Aibu kubwa sana hio. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kijana vipi? Mbona unanga'ang'ania hivyo? Umesha ambiwa na kuonyeshwa kuwa under construction bado king'ang'anizi.

Unajua, hii inaonyesha jinsi ilivyo adimu kupata uchafu Tanzania. Ndio maana unaangaika hii ipite.

Barabara nzima hiyo ili fumuliwa tena ilikuwa double road. Imefumuliwa inajengwa upya with BRT.

Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie kweli vilaza daa...

Nyie wakina joto la jiwe Geza Ulole na wengine, mnaweza kubishana na mijitu jinga na ng'ang'anizi hivi??? [emoji848] Salute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…