Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nafikiri kwa Arusha inastaili kuwa na kiwanja cha kisasa pia ukizingatia kuwa na vivutio vya utalii na mambo mengine
 
Haiwezi kuwa longest wakati dodoma tayari kazi imeanza .
Mind you ni 110km long
 
Kaitaba Bukoba na Azam Complex Chamazi hivi haviko kwenye viwango vya kuhost Afcon,au seating capacity yake ni ndogo sana mkuu?
Azam Complex Bado nakumbuka ina seating capacity ya 7k to 10k ...ila pitch quality yake nzuri..

Akijitahidi akaweka majukwaa mazuri sitashangaa akichaguliwa..ila akibaki the same itatumika kama Training ground...

Kumbuka kila Host city inahitaji Venue kama 4 za training ..so total training facilities inabidi ziwe 24 kwa nchi

I think Only Dar can qualify as host city for now.
 
Nimekusoma kaka!
 
Mwezi wa 8 bado mbali kidogo kaka kwa matukio ya Kitaifa linaweza kutokea lingine akaattend.
Nilikuwa sijakusoma vizuri matukio kama haya hayatatokea tena kwenye utawala wake means ni mpaka mwakani ambapo hatakuwa madarakani,.
 
Hivi hawa huwa wanachukua mkopo wapi?
Wanajifund wenyewe maana karibia kila kitu wanacho,serikali yao inajimudu. Sasa barabara ndefu hivyo lakini watatumia muda mfupi kumaliza na kuokoa fedha nyingi ambazo zingetumika kwa ziada iwapo kama mradi ungechelewa kuisha.

Wakija Afrika wanajivuta sana ili wachelewe kumaliza walete visingizio tuwaongezee pesa. Wanatupiga sana hawa watu.
 
Sherehe ya leo imenibamba sana. Imenoga. Vifaa vyote vya kijeshi vimemwagwa leo. Pengine ni njia ya wanajeshi kumuambia Uhuru "bye"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…