Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa yote ni slums mpaka airport Imepigwa kabali na slums πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2245522View attachment 2245524View attachment 2245525
Yaani umelemewa hautaki kuweka picha ya kuonekana tuone Mombasa yote ni slum unavyosema weweπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama vile huwa naowaonyesha ufukara wa Dar kwa ukubwa na upana? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ najua umeshangaa Mombasa iko organized na better kuliko Dar kwa muonekano kupitia google earth, mbona ukaweka kwa umbali? wacha nikuonyeshe kwa karibu watu wajionee.., outside CBD, from Airport ulio weka.., usiogope, ingia google earth kisha mwaga picha za Mombasa wazi wazi.., kila kitu kiko wazi,







 
Kwa hiyo hii sio Mombasa?

 
Hii ya Reli ya tazara? ni ngumu kupanua ..labda wangefumua Reli waamishe ..kwenye underpass nyingine alfu hyo waibomoe ..
Hiyo ndiyo option iliyopo, yaani wajenge diversion overpass kama ya KAMATA/Nkrumah halafu ujenzi ukikamilika wanavunja hii ya zamani ili wasi-disrupt operations za TAZARA
 
Mombasa yote ni slums mpaka airport Imepigwa kabali na slums πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2245522View attachment 2245524View attachment 2245525
but if you didn't know, Khayelitsha Slums with a population of 400,000 pple in Cape Town, stands to be the LARGEST SLUMS IN THE CONTINENT OF AFRICA.! if you didn't know, now u knw

nb: Kibera has about 100,000 pple only.! Google it please.......

Khayelitsha, Cape Town, South Africa πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
 
These mud houses are like kunyaland major cities monuments, they're everywhere 🀣🀣🀣🀣
Ni muda muafaka sasa umefika muziweke kwenye bank notes 🀣🀣🀣🀣

Tony254 em niambie kwanini mpaka leo mna mud huts kwenye CBDs zenu zote?



 
Save South Africa for another day, leo tupo Kenya please πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

South Africa hawana mud huts though 🀣🀣🀣

Mombasa hii mkuu, mpaka lini? πŸ€”

Tanzania tuna informal settlements lakini hatujafika huku!

 
Kwa mujibu wa waziri wa michezo leo ikulu..anasema wachina wametuma maombi wizara ya fedha (kutoa mkopo) kwa ajili ya kujenga uwanja wa michezo dodoma

Good thing..waziri wa fedha ni mwigulu, mwanamichezo
 
Buruburu hiyo mkuu, planned estate kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2245641View attachment 2245642
Buru Buru ni mtaa wa appartments eti, ama uliokota tu picha mtandaoni imeandikwa buruburu wewe ukadandia.., mbona unaogopa google earth, ityumie ikupeleke Buruburu.., Tanzania mtangoja sana.., viji excuse kujiliwaza., onyesha kwa google earth real time, hakuna propaganda ya angles na maneno mengi...,
 
yaani nimeona picha za kibera zimechanganyishwa na bangladesh, Mombasa udongo nikama wa Dar, ni pwani, unalazimisha sana yaani umeziokota google na haujui Kenya, ni kasehemu tu, sio nyie ni uharo mwanzo mwisho, sio tu Dar ni taifa lote, na kusihi weka hizi maeneo kupitia google earth tuone upana na urefu ukilinganisha na surroundings, Mombasa sio Dar a big slum, ata ukilia ama unyambe utoe povu mko hovyo zaidi on average πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ weka in 2022 tuone.., GOOGLE EARTH πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nionyeshe hizo mud houses ukitumia google earth tuone vile zinafanana 2022.., na maeneo yanafanana vipi kwa sasa? unapata tabu sana., alafu hapo ni CBD?.., yaani ukiona mtu analazimisha fikra zake lashikwa pabaya., unaumwa kweli.., GOOGLE EARTH is King here, imewaumbua hadi basi, ni maneno tu mnatumia kujikomboa na vipicha vya youtube, unazunguka tu sehemu mojaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…