Hahaha sikuwa najua hilo.🤣🤣🤣kenya maralal,lodwar,lokichokogio,tana river,nyeri,muranga,maua,garissa kakakuma dadaab etc mfano did you know kuna sehemu ukielekea kakuma kama hamna dumu la maji hampiti mnatumia kama entrance fees!
Wale Jamaa wanaweka road blocks wanacho hitaji ni maji tu!🤣🤣🤣kenya maralal,lodwar,lokichokogio,tana river,nyeri,muranga,maua,garissa kakakuma dadaab etc mfano did you know kuna sehemu ukielekea kakuma kama hamna dumu la maji hampiti mnatumia kama entrance fees!
Sheria zinaruhusu au ameamua liwalo na liwe tu[emoji2][emoji2][emoji2] barabara mkeka mwendo mdundo nini shida.Kuna Wakenya vichwa mbaya. Jamaa anapiga 180 kph kwenye expressway. Kutoka Westlands hadi JKIA distance ya 27 kilometres jamaa anapiga na 7 minutes. [emoji33][emoji33]
Mkuu ulipotea muda kidogo,karibu tena ,bila shaka majukumu yalikukeep busy[emoji5][emoji5]Mkiambiwa kitu muwe mnaelewa! View attachment 2244824View attachment 2244825
Kenya nimefika sehemu za baridi!,nyahururu, kinangop,nyeri, limuru bado sana!
Majina mengine jamani, dah!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]kenya maralal,lodwar,lokichokogio,tana river,nyeri,muranga,maua,garissa kakakuma dadaab etc mfano did you know kuna sehemu ukielekea kakuma kama hamna dumu la maji hampiti mnatumia kama entrance fees!
Ahsante mkuu ,kweli siunajua maisha ila namshukuru mungu mambo yanaenda mdogo mdogo😄😄Mkuu ulipotea muda kidogo,karibu tena ,bila shaka majukumu yalikukeep busy[emoji5][emoji5]
Hii Magufuli stend itaweza ku-accomodate magari yote kweli ya mikoani naona kama patajaa sana na kuleta usumbufu na msongamano mkubwaGreat
Sector wengine ya usafiri kama boda, taxi, bajaji, daladala nao wafaidike kwa kuwatoa au kuwapeleka abiria hapo magufuli terminal.. kwa wale wa southern Dar, wazo la terminal nyingine maeneo ya mbagala huko ndo mda wake sasa kuwa implemented
Safi sana.Karibu sana jamvini maana hapa unajiona kama vile umerudi nyumbani unaongea na ndg zako kabisa.Ahsante mkuu ,kweli siunajua maisha ila namshukuru mungu mambo yanaenda mdogo mdogo[emoji1][emoji1]
Kama huyuMajina mengine jamani, dah!!
Ujumbe huo kwa wahusika.Tobaa![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2244857
Kweli sana brother nawapenda wana 255 wote humu ndani pamoja brother!Safi sana.Karibu sana jamvini maana hapa unajiona kama vile umerudi nyumbani unaongea na ndg zako kabisa.
Yaani ni shida, kuna balozi au Afisa wa Zimbabwe aliletwa hapa nchini ana majina yote mawili ya ajabu serikali ikamkataa, yalikuwa yanaendana na huyu uliyemtaja hapa.Walifanya vizuri utamaduni wetu hauruhusu haya mambo.Kama huyuView attachment 2244885 hapa daaaaah[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]