Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa unang'ata mdogo mdogo ila vinauma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama inawauma kuwa na ma slums kila kona c mpambane muyaondoe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kati ya watu wanaoumizwa na uwepo wa ma slums Kenya nzima basi ni huyu jamaa sema ndio hvyo tena kuyaondoa hawezi japo alijaribu mwaka 2018 kuyaondoa kunako Google but alipoyaondoa 10 yakaongezeka mengine 5,000 akaamua amuachie Mungu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikuwa nazungumza kuhusu 2017-2019 ambapo nilikuwa nje ya nchi kwa masomo zaidi. Nilipost hio air-ticket yangu hapa. NDINDA hajawahi kupost anything personal kuhusu maisha yake lakini anadharau watu wengine.
Kama vipi tuanze kuonyeshana hivyo vitu ulivyosema mpaka hapo mmojawapo akatapota adabu 🤣
Hata hivyo hapa jamvini sijawahi kukwanza mtu labda viutani ambavyo umeshindwa kuvigundua na ukareact vibaya, 😎 Kwanza Tonny mi sina dharau na mtu, mimi ni mtu peace sana hata siku moja kule Skyscrapercity nilipost picha yangu member wengi wakasema You look Polite🤣.
Imagine mwanzilishi wa hii forum ananitunuku heshima kwa kuwa sina mawaa🤣.




 
Angalia kitu kama hiki pia nataka dyfre ambaye ni mjenzi na Tony254 ambaye ni somehow sober atoe tu honest review kama tofauti na Nairobi kuna estate ipi nyingine inaweza kupambana na hii new upcoming estate in Dodoma

dyfre hizi ndio nyumba Watanzania wanazitaka kwa sasa contemporary design, Dodoma ndani ya miaka mitano ijayo haishikiki

 
Jamaa alikuwa akisema eti inland cities are not supposed to experience flooding. Sijui hiyo alisomea wapi!
Acha ujinga paris sits on river banks what does Nairobi sits on except ni poor drainage systems lower costal cities are prone to flood while Nairobi sits further inland at a higher altitude. Itakuwa kitu cha ajabu kusema Kilimanjaro au Arusha is flooded.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Noma sana mzee.
 
Wakuu kiukweli kabisa hii Dodoma itakuja kuitesa sana Afrika mashariki na kati, ni moto wa petroli huu wazee, nmecheki hizo estate zitakapoisha nadhani itakuwa kwenye tatu bora Afrika kwa estate kali na za gharama.
 
Wakuu kiukweli kabisa hii Dodoma itakuja kuitesa Afrika mashariki na kati, ni moto wa petroli huu wazee, nmecheki hizo estate zitakapoisha nadhani itakuwa kwenye tatu bora Afrika kwa estate kali na za gharama.
Mpaka sasa Dodoma inaongoza kwa investment katika majiji yote ya EAC give it another 5 years it will be hot on the heels of Joberg.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Paris sits on a river bank what about Nairobi?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nairobi is divided into two geographically, One half is on a hilly terrain with forest cover the other half is on a flat plain which was a savannah grassland. The slope is evident ukitoka upper hill heading to CBD you can clearly see the elevation.
 
Huyo bwana mdogo mwambie akae kwa kutulia na kwa tahadhar... makombora yote ya urusi yako standby now😃..
Sijui ni doc ipi inamuhusu mana sijapitia bado..lkn akae kwa tahadhar sana 🤣🤣🤪🤫.. afu waachage kujisifia kwa kusema uongouongo
 
Nairobi is divided into two geographically, One half is on a hilly terrain with forest cover the other half is on a flat plain which was a savannah grassland. The slope is evident ukitoka upper hill heading to CBD you can clearly see the elevation.
But with proper drainage system you can avoid floods.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Hahaha, Noma sana Mkuu. Makombora yakae Standby kwanza [emoji1787].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…