Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye daladala wameongeza sh 100 huku hawa wajuba wanataka kuongeza 500 nzima 😅😅 tutafika tumechokaa sanaa
Kiukweli hii serikal ya sasa ya kindezi sana.. wanachojali ni wao kupata hela..hawajali katika kupata hio hela mwananchi anaumiaje.. na no.1 yuko kimya kama autopilot..kazi yake kuzururazurura tu..huyu ni wa kummwaga chini
 
"Kwani huoni vile ambavyo wakenya wanavyowashambulia .......", hakuna neno " venye" katika lugha ya Kiswahili
Tony254
dyfre

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
at first u might think this is an estate in nairobi and just because roads are named after kenyan towns...... but u ll be suprized if u told u this is an estate in santon, johannesburg, south africa

View attachment 2239828
How did this come to be? Is it that many Kenyans live there and they renamed the streets or what? This is strange but interesting.
 
Kiukweli hii serikal ya sasa ya kindezi sana.. wanachojali ni wao kupata hela..hawajali katika kupata hio hela mwananchi anaumiaje.. na no.1 yuko kimya kama autopilot..kazi yake kuzururazurura tu..huyu ni wa kummwaga chini
Kuna watu nashangaa sana wanaposema wamelizika na huyu mama, kuna mda najiuliza au mm ndio nazingua mana kiukweli kabisa huyu mama ame proove failure in almost everything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…