Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa ground story ni different kabisa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 2237853View attachment 2237854
Those guys are talking about 8:4:4 system and am talking about CBC System, and just to clarify coz after all you brought it up .. one thing you must know is most Kenyans that go to Turkey or this funny funny countries to study most of them dint get the required cluster points to do it here so they prefer going abroad either turkey or Ukraine some even to Uganda
 
It means rate yao ya kuzaliana ni twice that of Tanzania. If our birth rate is 5% theirs is 10%

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wanazaliana mno kama panya

Tanzania elimu ya msingi mpaka o level secondary ni bure na hakuna mtoto mwenye umri wa kuwa shule asipelekwe shule lakini cha kushangaza idadi ya wanafunzi wa primary schools in Kenya ni wengi almost mara 2 ya Tanzania

Hii inatoa picture, Kenya Wanazaliana mno na idadi yao ni kubwa.
 
Ukiwa airport au kwenye train station unakula wapi? πŸ™„
Why would you compare a bus park/ stage to an airport? When taking a bus in 15minutes you have arrived to your destination why all the fuss???
 
Ndio maana nakuambia wewe ni keyboard warrior mshamba, tuonyeshe drones zenu za military wachana na za kikosi cha wanyama pori, KWS wanatumia drones zao na hawasaidiwi na military. Wewe keyboard warrior mshamba Counter drone sytem hamna, drone za military mtatoa wapi sasa. Wewe mshamba badala utuonyeshe hizo drone unatuonyehsa pembe za ndovu, tutajuaje kama wanatumia normals drones kama dji phantom 4 🀣 🀣 🀣 🀣
 
They admi fair and square the level of education they graduated from in kunyaland is way below compared to Tanzanians with the same level thus they find themselves incompetent to other students quite opposite to their counterparts. They strongly blame their syllabus and curriculum, eat that 🀣🀣🀣🀣
 
In that case you didnt learn a thing about Tzanian, Last year our GDP were around 65 bill and our growth rate were around 4% kindly explain it to me how did we endup with 77bill as par april this year? Kama sio tuna chezewa hapa .
 
hio inamaanisha, tumefanya kitu kinaitwa dilocalization, hivi tumevi distribute resources to other cities other than the main city..
One thing they don't know is to get the context or the purpose of a post when someone posts it . They always take it out of context completely to suit their argument
 
So you believe some tweet from guys who dint work hard in school to international data that clearly shows rankings with facts? So if I go online I claim at school most Nigerians I studied with are poor now that makes Nigeria poor hehe that's a very bad analogy.
 
In that case you didnt learn a thing about Tzanian, Last year our GDP were around 65 bill and our growth rate were around 4% kindly explain it to me how did we endup with 77bill as par april this year? Kama sio tuna chezewa hapa .
You wount have that issue if you stop mixing real GDP with projections
 
Inabidi waangalie upya mswada wa sheria kuhusu kumiliki bunduki. Democrat walitaka urekebishwe Bungeni lakini Republican wakakataa. Sasa madhara yake ndio haya.
 
Sasa inamaana gan kua na traffic kwenye expressway?kama normal roads traffic imepungua ni afadhali nipite kwa normal roads
Hiyo road ni kwamba hapo gari zinapita bure kwasababu ya ufunguzi na ndiyo maana hao washamba wote wameamua kupita kwenye hiyo road mpya ila toll zikishaanza ku operate ndio utajua maana ya white elephant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…