Nini kifanyike sasa hapa ndg. Me nikisikia hivyo roho inauma na nikiona tunahangaika kutembeza bakuli huko kwa watu ili tujazie jazie bajeti yetu. Ni aibu kabisaa hii. [emoji24][emoji24]kaka kuna watu walifanya tathmini TPA ports zinaweza zikatoa zaidi ya 5 trillion a year just from port service .....TPA wanakusanya 900billion tsh currently
Aiseeh huyu Balozi wenu ni mrembo.Kuna watu watanuna,sote ni ndugu.
Balozi wa Tanzania na Kenyatta 👇
JICA ni partners wazuri sana kwenye mambo ya upanuzi wa bandari na kuchora masterplan na kufadhili ujenzi wa bandari. Wao ndio wafadhili wakuu wa Mombasa port. Mna bahati mmepata hawa wafadhili katika port ya Kigoma. Hizi port zenu za Mwanza na Kigoma zinastahili kupanuliwa kabisa kwa sababu bado ni ndogo sana. Pia mnastahili kujenga meli nyingi kubwa kubwa kwenye ziwa Victoria na Tanganyika. Mimi najua mnajenga meli kubwa moja pekee katika ziwa Victoria.
Sikilizeni udambwi udambwi huo huku kigoma kule karema Wakongo washindwe wenyewe tuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wivu tuuVery ugly building.
Nimeshakuambia hiyo si drone bali ni toy ya watoto.Wacha kujiaibisha mbele ya dunia, eti toy [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] kumbe hujui vile drone zinafanana, ndio maana umekimbia kugoogle combat drone sa unadhani drone zote zinafana hivyo. Punguza ushamba kijana ju nchi yenu haina hata counter drone system. Wewe ni keyboard warrior mshamba sana.
View attachment 2237488
Kwa huku kwetu huyo ni wa kawaida sanaAiseeh huyu Balozi wenu ni mrembo.
Hivi vitu TPDF have been using them ages ago kama nyie ndio mnatumia sasa poleni.Ebu tuonyeshe drone zenu za kijeshi.
Bandari ya Kigoma haihudumii Rwanda! Maana hamna ziwa Tanganyika Rwanda!
Sikilizeni udambwi udambwi huo huku kigoma kule karema Wakongo washindwe wenyewe tuu
Kaka hii ni kutia tembo maji au? Wa kawaida ina maana kila msichana ni miss Tanzania, sasa mashindano ya beauty pageant ya nn?
Hahahaha, lengo ni kumchanganya Tony na walugaluga wenzake huko Kunyaland[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka hii ni kutia tembo maji au? Wa kawaida ina maana kila msichana ni miss Tanzania, sasa mashindano ya beauty pageant ya nn?
Sikiliza ulivyo mpumbavu hivi una maana gani bandari za maziwa ni ndogo?JICA ni partners wazuri sana kwenye mambo ya upanuzi wa bandari na kuchora masterplan na kufadhili ujenzi wa bandari. Wao ndio wafadhili wakuu wa Mombasa port. Mna bahati mmepata hawa wafadhili katika port ya Kigoma. Hizi port zenu za Mwanza na Kigoma zinastahili kupanuliwa kabisa kwa sababu bado ni ndogo sana. Pia mnastahili kujenga meli nyingi kubwa kubwa kwenye ziwa Victoria na Tanganyika. Mimi najua mnajenga meli kubwa moja pekee katika ziwa Victoria.
Mnastahili kujenga meli kama tano kubwa ndani ya ziwa Victoria na nne kubwa ndani ya ziwa Tanganyika. Kisha muwashinikize majirani wenu pia wapanuwe port zao. Hio itafanya biashara yenu na DRC na nchi zingine kudouble au kutriple. Potential mnayo kubwa lakini kwa maoni yangu sioni kama mnainvest ya kutosha kwenye upanuzi wa mabandari na ujenzi wa meli kubwa katika haya maziwa mawili. Japo tangu wakati wa Magufuli angalau mumeanza kuivest kwenye inland ports na meli, nadhani kabla ya Magufuli marais wa awali walikuwa wametelekeza ujenzi wa hizi inland ports. Ni maoni yangu tu.
Wewe jamaa vp!Tanzania iilishe mara ngapi kunyaland!Tanzania inaendelea kuilisha EAC ikiwemo Kenya 👇
Jamaa zako pozi za picha tu hapo,hizo gari zimejaa mkaa wanawasubiri alshabab hapo wawauzie